Lau masha kurudi bungeni 2010 na kuwa waziri

BigTime

Member
Sep 17, 2008
43
4
Wadau nimesikia hizi habari kitaa (not from a valid source) kuwa Kikwete kikatiba ana nafasi kumi za kuteua wabunge awatakao, kumbuka mwaka 2005 alimteua Kingunge Ngomable Mwiru kuwa mbunge. Kwa hiyo katika hao wateuliwao this time na Lawrence Masha yumo, ukistaajabu ya Musa......

Habari ndo hiyo...
 
hata amchague mkewe kuwa waziri wa fedha to me kikwete is just another nightmare to this country hana jipya
 
CCM nimeshasema hawana kazi za maslahi ya nchi hii. Imeshakuwa ni nchi ya watu wachache.

Na tusubiri tu natural kalamity kama hatutawang'oa hawa jamaa.
Kama watanzania tungekuwa macho CCM ingekuwa kaburini tangu mwaka huu. lakini kwa vile hatutaki, basi tusubiri tu Mungu aamue mwenyewe.

Lakini CCM jamani imezidi!!! Jamani Imezidi kuwa kihiyo!
Tatizo ni kwamba viongozi wa juu ni wasomi amabo hawakutafuta elimu ila walipewa tu! hivyo hawajui lolote (Yaani wapi wanaenda na wapi tuende, ili iwe nini. ) Ili mradi tu watoto wao wananawiri
 
To add on top of that even if Masha returns back in the Parliament he wont make any impact at all coz he has failed politically
To add on top of that even if Masha returns back the we'll not be the same!!coz Nyamagana residential have said no!!
 
abvious hilo nilitarajia ili chichim kulinda ufisadi wao tna in same ministry as he was!
 
Hiyo noma, jamaa hawamtaki tu wangemtaka wangekomaa na la wenje sio raia kabla hata hawajafika kwa wananchi kuamua

Wamemtoa kafara huyo
 
Wananchi wa nyamagana wamekwisha muabisha!!! Arudi asirudi sawa tu!! Wananchi wamemdhihirishia prezidaa kuwa machagua yake ni bomu; akiwarudisha anajichimbia kaburi lake mwenyewe!!!

Hii nchi with CCM in power ni janga la kitaifa...:doh:
 
Sidhani. Nimeota usiku wa leo kuwa nilikuwa namhoji Masha kuwa ana mpango gani baada ya kuanguka ubunge na akanijibu kuwa yeye ni kijana milionea na anarudi ku-practice u-lawyer wake. Sijui hii ndoto ni ya kweli au ilitokana na ugali niliotwanga kabla ya kulala.

Lakini juzi niliota Sita kaukosa ubunge na kweli imetokea. Nilifundishwa kanisani kuwa ndoto ni bayana. Tusubiri tuone
 
sijui bado unaota, amka tafadhali.!!!!!!!!!!
 
Sidhani. Nimeota usiku wa leo kuwa nilikuwa namhoji Masha kuwa ana mpango gani baada ya kuanguka ubunge na akanijibu kuwa yeye ni kijana milionea na anarudi ku-practice u-lawyer wake. Sijui hii ndoto ni ya kweli au ilitokana na ugali niliotwanga kabla ya kulala.

Lakini juzi niliota Sita kaukosa ubunge na kweli imetokea. Nilifundishwa kanisani kuwa ndoto ni bayana. Tusubiri tuone

Ndoto yako sio kweli....ni mbunge wa Urambo
 
Back
Top Bottom