johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,855
- 141,793
Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala
Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala.
Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu ushindani baina yao na wale wa Bodaboda na baiskeli ni mkubwa sana.
Zaidi ya magari 60 yamekamatwa kwa kukiuka taratibu za leseni.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!