LATRA imeanzisha utaratibu wa kukata tiketi kwa njia ya mtandao ambayo si rafiki

Machine za tikiti zipo pia kwenye ofisi za mabasi, kwa wasiokuwa na muda watakata kupitia simu zao japo LATRA wanafanya siri aplikesheni yao.
Kwahiyo kwa mfano niko Sangamwalugesha,,nataka tikiti ya digital inabidi niwashe baiskel kwenda shinyanga mjini kufuatilia tiketi au?...
 
Kwahiyo kwa mfano niko Sangamwalugesha,,nataka tikiti ya digital inabidi niwashe baiskel kwenda shinyanga mjini kufuatilia tiketi au?...
Nunua kupitia simu yako, hata hivyo kwa utaratibu huu huko bado haujawafikia, mtajulishwa.
 
Watu wa mabasi wanapinga huu mfumo kwa nguvu zote.... utawaumbua kwenye maswala ya kodi
 
Mbona simple tu
Kampuni kama ina mabasi matano wanatoa mawili au moja kwa latra ili abiria wanunue ticket kwenye mfumo
Au hata kama bus ni moja unaweza kutoa siti either 5 kwa LATRA ili ziingizwe kwenye mfumo
 
Usipoliingiza basi lako kwenye mfumo linakosa njia hivyo halitakuwa barabarani.
 
Mdau mmoja atakosa ushindani,itapelekea kufanya kazi kwa mazoea na kuleta usumbufu kwa watu.
Chukulia mfano kwenye mwendo kasi.
Wewe NAWATAFUNA itakuwa UNATAFUNWA, huu mfumo hauhusu mwendokasi, daladala, bajaji wala bodaboda, ni mabasi ya kutoa mkoa mmoja kwenda mwingine, punguza KUTAFUNWA ili akili zako ziwe na akili.
 
Hiyo comment ya"ungerejea kwanza kwenye mwendo kasi"nime m-quote mtu alietoa ushauri wa kumpa mdau mmoja huduma ya kutoa tiketi za mabasi ya mikoani.
Kwenye mwendokasi nimetolea mfano tu madhara ya kuweka mdau mmoja kwenye huduma anakosa ushindani na kuwapa watu tabu inapotokea changamoto za kuendesha mradi.
Embu fikiria kama kwenye mwendokasi kama kungekuwa na mtoa huduma zaidi ya mmoja unadhani watu wangepata tabu kwenye usafiri wa mwendo kasi?
Hivyoivyo kwenye kutoa huduma za tiketi ya mabasi mikoani pawe na ushindani,watoa huduma wawe zaidi ya mmojaKuhusu"kutafunwa"ntakuita leo jioni nikueleweshe zaidi nikiwa chumbani na mamako.
elvischirwa
Wewe UNAWATAFUNA kubali pia kuwa UNATAFUNWA maadamu ni siri yako haina shida, mla huliwa.
Tatizo la mwendokasi ni chuki tu! Serikali iliinyang'anya halmashauri ya jiji na kumpa mtu binafsi ambaye hakuwahi hata kuwa na mradi wa bajaji, tulichoshuhudia ni yeye na mkewe kufikishwa mahakamani. Nchi nyingine duniani shughuri za uchukuzi kwenye mji mkuu wa nchi huwa chini ya serikali kupitia halmashauri ya jiji.
 
Usiache kuja leo jioni chumbani kwamamako uone ninavyompiga pumbu mbuzi kagoma kwenda utaelewa tu.
Tukana mpaka uchoke, ila kumbuka mama yangu hakuandika kitu humu na nikimkabidhi hii nina uhakika huchomoki pamoja na kujivunia Hidden Identity.
 
Sasa bwashee ,kama quote yako ya kwanza kwangu ungefanya ustaarabu tusingefika huku..
Ungeni-quote kistaarabu wala nisingekukwaza.
Tukana mpaka uchoke, ila kumbuka mama yangu hakuandika kitu humu na nikimkabidhi hii nina uhakika huchomoki pamoja na kujivunia Hidden Identity.
Hapa tupo kwenye mjadala tu,na kila anaechangia anataka manufaa kwenye jambo hili tunalojadili.
worry out,nisamehe najua nimekukwaza kutokana na vidole vyako vilivyo type wrong kuhusu"kutafunwa"nisamehe saba mara sabini na ntajifunza moyo wa uvumilivu mamber yoyote wa jf atakapo nitukana.
special thanks mama D
 
Na tunaopandia njiani
Una hoja hebu waweke link ya hiyo system Tyrone bila shaka itakuwa na option ya kuonyesha utapandia wapi mfano unakaa chalinze unakata tiketi kwenda Dodoma huwezi panda gari kurudi nyuma Dar ukapande gari
 
Wewe UNAWATAFUNA kubali pia kuwa UNATAFUNWA maadamu ni siri yako haina shida, mla huliwa.
Tatizo la mwendokasi ni chuki tu! Serikali iliinyang'anya halmashauri ya jiji na kumpa mtu binafsi ambaye hakuwahi hata kuwa na mradi wa bajaji, tulichoshuhudia ni yeye na mkewe kufikishwa mahakamani. Nchi nyingine duniani shughuri za uchukuzi kwenye mji mkuu wa nchi huwa chini ya serikali kupitia halmashauri ya jiji.

Sasa huu mradi wa tiketi una uhakika gani kwamba atapewa mwekezaji anayeeleweka?
 
Huko ufipa huwa mnajifunza nini mbona usitengeneze hiyo ussd unayoitaka
Sikutegemea mtu anaeitwa kilenga anaweza kuandika Kama mvaa dela, mcheza vigodoro na mchiriku.
Nadhani hii forum ni too advanced for your mental capabilities.
Kunyamaza ni busara kuliko kuongea utumbo.
 
Back
Top Bottom