Latino na harakati za kuzamia ughaibuni mpaka kutoswa baharini

Tupo hewani tuendelee kusonga tukamalize mkasa

Kutokana na yale magumashi ikabidi tuachane na yule bibi tukaangalia ishu zingne sasa Mimi nilikwenda kwa mama yangu mzazi ambae alitengana na baba alikua kaolewa sehemu nyingne yule baba ambae alikua kamuoa mama sio baba angu mzazi aliniambia kuna msitu una ivo vitu vya kale ambapo hapo kuna makaburi yapo lakini uendi hivi hivi kuna mauza uza wao waliwai kwenda hapo kufagilia makaburi ilikua saa nne tu asubuhi wakapotea makaburi awakuyaona na eneo ni ilo ilo walirudi siku iyo awakufanya kazi.
tukajipanga ikabidi tufike eno husika kufatilia ivyo vitu tumefika eneo lenyewe sasa ilikua ni kwenye kisima ndio kuna izo Mali ila kisimani akuna maji yalisha kauka muda mrefu wakati tunafika pale kwanza tukakuta fuvu la mtu lipo kwenye miti ivi imefungana alafu pembeni kuna nguo zimechakaa zimeliwaliwa na mchwa sisi tukasonga hapo kwenye kisima kuchungulia kuna Giza kuu kisima kirefu alafu ndani kuna kitu kina ng'aa sana kumuuliza mzee akasema hapo pana nyoka mkubwa na ndio mlinzi wa hizo Mali sasa kinachotakiwa apatikane mtaalamu ili tutoe izo Mali bila ivyo aiwezekani .
mtaalamu tuli mpata alikua ni shehe kaja pale yuko full gado na vitabu vyake kwajili ya kusomea na anajiamini sana kana kwamba tayari alishawahi toa ivo vitu akaanza kusoma wakati yupo pale kisimani
sisi kutokana na uoga tukapanda kwenye miti ye tukamuacha chini akapiga kisomo sana muda mrefu bwana ilitoka mizizi chini kule ikaja juu pale kwa shehe na kumvika alafu inamvutia chini kisimani jamaa yetu mmoja sijui alikua na ujasiri gani akaenda msaidia kumvuta ile miziz ikaachia ikarudi chini na yule shehe kukimbia naona zilikua salamu tu kwamba hana uwezo huo wa kumtoa yule nyoka pale zoez likashindikana tukaondoka patupu izi Mali za wajerumani inasemekana kuna uchawi mkubwa sana upo humo kwaiyo kufanikisha ni kazi ngumu na kuna mitego ipo humo kufa ni swala la dakika tu unapoingia uko. unajitoa mwanga na kuna kodi zao maalumu ambazo wenyewe wanajua.

Jamaa flani ivi vijana wakapata taarifa kuhusu lile eneo ni wa huko kijijini wakaona sisi tumekurukupuka na vile tumetoka mjini awajui kitu ngoja twende sisi wakajikoki vizuri ili wakafnye ilo zoezi na wakatafuta mganga awakutak shehe sababu ana soma dua wao waliamini dua ni mpaka mungu aipokee ivyo kwa haraka ni mganga itakua sahihi kwao basi
Yule mganga aka waambia walete kuku wao walikua wa tatu na mganga wa nne wakaenda eneo husika wamefika mganga akaanza manyanga yake piga tambiko mwisho aka waambia uyu kuku tuna muacha hapa tunakaa siku tatu tunakuja kuangalia asipo kuepo ina maana sadaka imekubaliwa na kinachobaki ni Mali kuchukua basi na tukimkuta kuku bado yupo sadaka aijakubaliwa yule kuku akaachwa pale wao wakaondoka kusubiri zile siku ,

Zile siku tatu zikatimia wakarudi pale yule kuku yupo ina maana sadaka aijakubaliwa mganga aka waambia wasubiri tena siku tatu wakasubiri kurudi yupo ambae alitoa yule kuku nyumbani kwake akaamua jambo moja amchukue kuku wake wenzake walimkataza walimwabia uyu kuku keshafanyiwa dawa muache jamaa aligoma na akasema mganga muongo akamtoa pale wakati wana ondoka yule nyoka kule chini alitoka na kuanza kuwafukuza ila walifanikiwa kurudi nyumbani japo msitu upo mbali sana na kijiji ila kuku jamaa alimpoteza msituni wawili walikua wa kijiji kimoja mwingne kjiji kingne wale wawili kwao walipoulizwa akuna walicho kisema baadae mmoja akaumwa akafariki akafata mwingne nae akafariki yule mwenye kuku alie mtoa alibaki mzima mpka sasa ivi yupo lakini ni chizi ilibidi mganga afwatwe kuulizia imekuaje ndio katika kuagua akaona tukio ambalo liliwakuta na waljchofanya hapo ndio taarifa zikasambaa.
uyo aliebaki hua anarudi kule kwenye Mali lile joka linapo jigeuza kuna baazi ya Mali zinatoka sasa jamaa anapkwenda anzikuta anachukua na kuna sehemu anaenda kuuza alafu anaingia kwenye pombe akuna kingne anachofanya zaidi ya kunywea zile hela mpaka zinaisha na kule anako uza huwa wana mkadiria tu akija nazo ndio watu wanamuona yupo na mzigo wa ela anaishia kunywa tu.
Na icho kjiji ni njia ya kuelekea mzaramoni unapita ufulu unaeleka malumbo alafu kuna kijiji kinaitwa paraka alafu unaingia kidugalo cha kanga ni njia ya kuelekea Mzenga hapa katikati kuna vijiji ambako mzee wangu uyo ambae alimuoa mama baada ya kuachana na baba yangu mzazi ndio asili yake hapo na saizi kuna mji kule unaitwa parisi kwa upande wangu Mimi nipo dar hapa nafanya shughuli zangu nyingine za kujipatia kipato nashukuruni nyote.
MWISHO.

Ndugu zanguni Latino mkasa kaumaliza hapa Mimi pia nashukuru kwa kumuwakilisha hapa kwa kuweka mkasa wake na ndugu zangu wa humu ambao amkupata kusikia basi muusome japo palikua na changamoto nyingi za baazi ya member ambao walikosa ustarabu nashukuru kwa kumaliza mkasa
asanteni.
View attachment 1791112
Latino ni uyo mkono wa kulia iyo ni moja ya interview akismulia mkasa wake na mr davista .
Mkuu umetisha sana kwa kutumuia muda wako kutuletea kisa kizima jf. Unastahili heshima kuu ya jf
 
Safi sana... simulizi nzuri...

Chapter closed...
 
Back
Top Bottom