Mugabe Agomea Mazungumzo Ya Kuachia Madaraka

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amegomea upatanishi na kusema atabakia kuwa mtawala pekee halali wa taifa hilo.

Amegomea mazungumzo yaliyoendeshwa na padri wa kanisa katoliki nchini humo Fidelis Mukonoli ya kuruhusu yeye kuondoka kwa amani

Ripoti za kijasusi za zinasema Makamu wa Rais ambye pia alikuwa mkuu wa usalama wa taifa Emmerson Mnangagwa alikuwa akifanya mipango na jeshi na upande wa upinzani kwa zaidi ya mwaka mmoja wa namna ya kumuondoa Mugabe

Kurejea kwa kiongozi wa Upinzani Morgan Tsvangirai ambaye alikuwa akipata matibabu nchini Uingereza na Afrika Kusini jana kumechochea minong'ono kuwa huenda mipango hiyo ikafanikiwa

Is Morgan Tsvangirai still alive?
 
Mugabe yawezekana damu za watu zinamwandana, anataka na yeye atoe damu kidogo iingie ardhini.
 
Haya sasa wale wote walionibishia baada ya kuwaambia Mugabe hawezi pinduliwa waje hapa

Mmmh Jembe Mugabe kagomea madaraka chezea kutukuzwaa wewe

Awe mpole wasije wakamwua bure

Kapumzike mugabe

Mugabe yawezekana damu za watu zinamwandana, anataka na yeye atoe damu kidogo iingie ardhini.

Sina hakika anazo nguvu hizo na uwezo wa kukataa sasa hivi.
IMG-20171116-WA0005.jpg
 
Haya sasa wale wote walionibishia baada ya kuwaambia Mugabe hawezi pinduliwa waje hapa
Duh! Ujui unenalo... Mugabe hana uwezo huo wala nguvu za kukataa tena. Akiwa na hekima ndogo atakabidhi Madaraka kwa makamu wake aliyemfukuza na yeye ama kwenda uhamishoni au kuomba akae kwa amani nchini (ambayo sidhani kama itawezekana kutokana na maadui aliojitengenezea ndani ya nchi). Tanzania ni option mzuri ya yeye kuja Kukaa.
 
Back
Top Bottom