Latest Fifa rankings: Kenya Harambee stars moves up, while Uganda and Tanzania’s retained positions

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,749
48,360

The latest classification has been released six months after the previous due to the coronavirus pandemic which forced suspension of soccer actions

Kenya moved up by a position while Uganda and Tanzania’s retained positions in the latest Fifa rankings.
Harambee Stars now ranked106 from the previous 107.

This could be as a result of 1-1 draw they played against Togo in Nairobi in the Afcon 2021qualifiers.

Uganda tops Cecafa region at position 77

Tanzania another east African country settled at position 134 the participants in the January 2021 African Nations Championship (Chan) have also not seen any change in the global rankings.

Rwanda due to play Uganda and Kenya in the second round of the Caf World Cup qualifiers dropped by a position to 132

Ethiopia are 146, Burundi 149, while Somalia 197,

The latest rankings come after six months of football disruption due to Covid -19 pandemic, that rendered most sporting activities idle in most countries prompting postponement of international matches and tournaments, including AFCON, CHAN and world cup qualifiers.

Fifa is applying a new formula with of testing, analyzing and calculating the rankings that were first implemented in August 2018 after approval by the Fifa Council.

The new model relies on adding/subtracting points won or lost for a game to/from the previous point totals rather than averaging game points over a given time period as in the previous version of the world ranking.

The points which are added or subtracted are partially determined by the relative strength of the two opponents, including the logical expectation that teams higher in the ranking should fare better against teams lower in the ranking

https://uzalendonews.co.ke/epl-last-minute-transfer-rush/

Kenya are with Egypt, Comoros and Togo in Group G

World Cup qualifiers, they are in the same pool as Rwanda, Uganda and Mali in Group E.

Uganda are in Group B alongside Burkina Faso, Malawi and South Sudan in the Afcon qualifiers.

https://uzalendonews.co.ke/latest-f...utm_source=website&utm_campaign=uzalendo_push
 
F

ifa wangefanya ranking ya midomo, I think wangekuwa wanatop table.

Watanzania huwa nimewakubali sana kwenye chochote kinahusu kuongea ongea sana, wazuri sana kwenye mipasho, mwanaume anaweza akachambana na mwanamke neno kwa neno hadi alfajiri.
 
Huwa tunawaonya dhidi ya kushindana na tembo, kama kweli mnathamini misamba yenu.
Kunya boys mko na Shida sana, dunia inataabika na Corona nyie mnafurahia kuongezwa nafasi kwenye makaratasi!!! Mnapenda sana matokeo ya kwenye makaratasi!! Hayo basi mmepewa endeleeni kushangilia.
 
Watanzania huwa nimewakubali sana kwenye chochote kinahusu kuongea ongea sana, wazuri sana kwenye mipasho, mwanaume anaweza akachambana na mwanamke neno kwa neno hadi alfajiri.

Vipi FKF na FKL tayari wameshafanya uchaguzi? Wamekubaliana nani aendeshe ligi sasa baada ya kuwapea ushindi wa mezani Gor?
 
Kunya boys mko na Shida sana, dunia inataabika na Corona nyie mnafurahia kuongezwa nafasi kwenye makaratasi!!! Mnapenda sana matokeo ya kwenye makaratasi!! Hayo basi mmepewa endeleeni kushangilia.
Kwahivyo mnaonewa? 😁😁😁 Watz bana, huwa mnafurahisha sana. Najua inauma sana kwamba nyie ndio vibwengo hadi kwenye soka, mchezo mmoja tu ambao ndio huwa mnajaribu kujiliwaza nao. Ila hamna namna, rank za FIFA huwa zinafata rekodi za ushindi. Usitegemee mje kuipiku Kenya(106) kiholela holela, saizi yenu Tz(134) ni wenzenu Burundi(149) na Somalia(197). Kati ya mechi zote za Kenya vs Tz kwenye historia, Harambee Stars imeigaragaza Taifa Stars mara 23, Draw mara 15 na ikaishindwa mara 15 pia. Kenya national football team: record v Tanzania
 
Tunaonewa? Na nani? Kwanini tuonewe, Yaani mkijamba tu kwenye vyoo vya Kenya mnakimbilia Tanzania kuleta ushuzi, acheni upuuzi wenu, mkiongezwa Rank kwenye makaratasi sisi inatuhusu nini?
Sisi hata hatuwawazii, hamtusumbui ndio maana hatuna muda na nyinyi, Tuko na RAHA zote na maisha yanasonga.
Nyie mnaopemba namba za kwenye makaratasi tayari mnaangaika mitandaoni.
 
I beg to differ. Mkimaliza kuiandama andama Kenya uwanjani na kwenye 'makaratasi' pia, ili Tz mpate usingizi gizani lazima mmalizie kwa kutufata mitandaoni sie mabwana zenu.
images
 
I beg to differ. Mkimaliza kuiandama andama Kenya uwanjani na kwenye 'makaratasi' pia, ili Tz mpate usingizi gizani lazima mmalizie kwa kutufata mitandaoni sie mabwana zenu.
images

ndio sababu tunajua hata GDP tutajua ukweli wake soon.

haiwezekani GDP ya $99 bln ishindwe kulipa madaktari.
 
Back
Top Bottom