Latest 50 constituencies and their correspondent winners | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Latest 50 constituencies and their correspondent winners

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kazimoto78, Nov 2, 2010.

 1. kazimoto78

  kazimoto78 Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM
  Ubunge Masasi - CUF
  Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA
  Ubunge Mkinga - CCM
  Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM
  Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM
  Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
  Ubunge Kibaha - CCM
  Ubunge Kisarawe - CCM
  Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM
  Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM
  Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP
  Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM
  Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM)
  Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM
  Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
  Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM
  Ubunge Siha (Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
  Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
  Ubunge Chato - John Magufuli/CCM
  Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
  Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM
  Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM
  Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA
  Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses/NCCR Mageuzi
  Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM
  Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM
  Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM)
  Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
  Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)
  Ubunge Babati Mjini - CCM
  Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM)
  Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
  Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM
  Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
  Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM
  Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM
  Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM)
  Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM
  Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
  Ubunge Korogwe - Yusuf Nassir/CCM
  Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM)
  Ubunge Kongwa - John Ndugai/CCM
  Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM
  Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
  Ubunge Tandahimba - Juma Njuayo/CCM
  Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
  Ubunge Kibakwe - CCM
  Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
  Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM
  Ubunge Arumeru Magharibi-Ole Sambu/CHADEMA
  Ubunge Morogoro Mjini
  -Aziz Abood/CCM

 2. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thanks Mkuu!
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Safari hii bunge litakuwa la vyama vingi kiukweli
   
 4. N

  Nampula JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dar hawajatangaza bado
   
 5. lord cupid

  lord cupid Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM
  Ubunge Masasi - CUF
  Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA
  Ubunge Mkinga - CCM
  Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM
  Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM
  Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
  Ubunge Kibaha - CCM
  Ubunge Kisarawe - CCM
  Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM
  Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM
  Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP
  Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM
  Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM)
  Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM
  Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
  Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM
  Ubunge Siha (Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
  Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
  Ubunge Chato - John Magufuli/CCM
  Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
  Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM
  Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM
  Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA
  Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses/NCCR Mageuzi
  Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM
  Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM
  Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM)
  Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
  Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)
  Ubunge Babati Mjini - CCM
  Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM)
  Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
  Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM
  Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
  Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM
  Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM
  Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM)
  Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM
  Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
  Ubunge Korogwe - Yusuf Nassir/CCM
  Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM)
  Ubunge Kongwa - John Ndugai/CCM
  Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM
  Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
  Ubunge Tandahimba - Juma Njuayo/CCM
  Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
  Ubunge Kibakwe - CCM
  Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
  Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM
   
 6. Mpenzi

  Mpenzi Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unamatokeo ya Pemba?
   
 7. m

  mzee wa wazee Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karatu na mbulu vipi jamani, any updates
   
 8. D

  Dwork1 Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ebwana tuzidi kuhabarishana
   
 9. lord cupid

  lord cupid Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM imeshinda pemba na zanzibar...angalia video....Dr.Sheni ni rais wa Zanzibar na Pemba na visiwa vinginevyo tuliyokuwanayo....thanks people
   
 10. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu,

  asante sana kwa matokeo haya, walau haya ndio matokeo watu tunayataka. Hamna longolongo wala maelezo mareefu. Just the rightful info. Ubarikiwe. Tupatie na mengine pia kama yapo tafadhali.
   
 11. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Lord Cupid AKA LC:

  Kutokana takwimu zinazosema kuwa pale ubunge unapochukuliwa na CCM, basi CCM wanapataka kura nyingi kwenye kiti cha urais. Kwa mtaji huo na data ulizotoa inaonyesha JK kameshinda au vipi? nimechoka ku-bofya bofya.
   
 12. kazimoto78

  kazimoto78 Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndivyo inavyoelekea...lakini sio kwa margin kubwa kihivyo!
   
 13. lord cupid

  lord cupid Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndiyo....mimi nina approximate 59%-62% kwa JK
   
 14. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ubunge Morogoro Kusini Mashariki - Lucy Nkya/CCM
  Ubunge Bukoba Mjini - Khamis Kagasheki/CCM
  Ubunge Njombe Kaskazini - Deo Sanga/CCM
  Ubunge Njombe Magharibi - Grayson Lwenge/CCM
  Ubunge Morogoro Kusini - Innocent Karogoresi /CCM
  Ubunge Dodoma Mjini - David Malole
  Ubunge Nyang'wale - Hussein Amary/CCM
  Ubunge Urambo Mashariki - Samwel Sitta/CCM
  Ubunge Kyela - Harrison Mwakyembe/CCM
  Ubunge Morogoro Mjini - Aziz Abood/CCM
  Ubunge Arumeru Magharibi - Ole Sambu/CHADEMA
  Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM
  Ubunge Masasi - CUF
  Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA
  Ubunge Mkinga - CCM
  Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM
  Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM
  Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
  Ubunge Kibaha - CCM
  Ubunge Kisarawe - CCM
  Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM
  Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM
  Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP
  Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM
  Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM)
  Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM
  Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
  Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM
  Ubunge Siha (Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
  Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
  Ubunge Chato - John Magufuli/CCM
  Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
  Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM
  Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM
  Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA
  Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses/NCCR Mageuzi
  Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM
  Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM
  Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM)
  Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
  Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)
  Ubunge Babati Mjini - CCM
  Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM)
  Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
  Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM
  Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
  Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM
  Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM
  Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM)
  Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM
  Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
  Ubunge Korogwe - Yusuf Nassir/CCM
  Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM)
  Ubunge Kongwa - John Ndugai/CCM
  Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM
  Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
  Ubunge Tandahimba - Juma Njuayo/CCM
  Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
  Ubunge Kibakwe - CCM
  Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
  Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM
  Ubunge Bumbuli - January Makamba/CCM

  Jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania 2010 ni 239. Bara 189 na Visiwani 50 (18 Pemba, 32 Unguja)

  from: - Home
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 418,988
  Trophy Points: 280
  Upinzani kweli kufikisha lengo la viti 110 bungeni?
   
 16. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Watafikisha 30 hivi, wanatosha kuanzia.
   
 17. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Mpenzi
  CUF kayachukua yote Pemba na 3 Unguja;CCM kwa kweli wana hali mbaya sana kote 2 maana huku Bara Upinzani umepata majimbo hata kwenye ngome zao kuu kama vile Mtwara!
   
 18. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Uwiano;
  Watafikia zaidi ya 60 wa kuchaguliwa ikiwa ni mara ya kwanza ktk historia yetu;maana CUF pekee yao hadi sasa wanao wabunge 21 ZNZ na 2 Bara;NCCR nao wamepata majimbo zaidi ya 2 kule Kigoma,TLP wana jimbo la Vunjo na wanapewa nafasi ya kuchukua pia Chunya,UDP likely Cheyo atatetea Jimbo lake na chama dume CHADEMA kimeongeza wabunge kutoka 5 waliokuwa nao bunge lililopita hadi karibia 20 hivi sasa!

  Ni ushindi wa kujivunia haswa kwa wana mageuzi tena kwa kuandamana kwa amani kumshukuru Mungu!
   
 19. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna tetesi kuwa Basil Mramba ndo mbunge wa Rombo! Sina uhakika sana kama kuna aliye Rombo atujuze kama haya ni ya kweli.
   
 20. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  We unaumwa nini?? Kwani upinzani umeanza leo......................Kw ataarifa yako mpaka sasa official results wana zaid ya 20 kati ya kama 55 yaliyotangazwa!!
   
Loading...