Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,600
- 4,073
Mipango imefeli mkuuShida nini mkuu?
Nimevumilia sana ila bado nimekula mbovu
Anyway namshukuru Mungu kwa hii pumzi.
Mipango imefeli mkuuShida nini mkuu?
WeuweeeeeNdiyo hata wewe pamoja na kitambi chako hicho siku ukiachwa utapiga makelele
Sawa.Basi nipotezee mkuu, hamna mkate mgumu mbele ya chaii🙄🙄
Na k vant umeshikia nini?Nakatia K vant kitandani,mkono moja umeshika simu mwingine nagusa gusa tako la mama watoto kuboost mood yangu
Nije?!Hakuna kinachofaa
Hapa nimelala sakafuni
NjooNije?!