Late JOHN KENNEDY; raisi wa marekani aliyeuawa naomba tumchambue kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Late JOHN KENNEDY; raisi wa marekani aliyeuawa naomba tumchambue kidogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Dec 31, 2010.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Alitoa msaada mwaka 1963 kuipa chakula tanganyika kuanzia kwenye shule zote'pamoja na mavazi'aliuwaa 21/4/1964 jumanne,rais aliyefuata RICHARD NIKISSON' akaleta zengwe kwa baba wa taifa'
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mi nafahamu kwa kifupi cia walimuua kwa ajili ya usalama wa wamarekani maana hali ilikuwa tete kwa jinsi alivyokuwa anahandle mambo ya ubaguzi .
  Na kama unakumbuka miaka hiyo hiyo aliuawa malcom x, martin luther king jnr.
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  ni mizengwe gani aliyoletewa Mzee Kfmbo na hawa Watemi?
   
 4. F

  FredKavishe Verified User

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  baada ya huo mkataba kusainiwa tulipopata hizo huduma then john kennedy alipouliwa aliyemfuatia akaanza mambo yake akawa anasema ataleta hadi kwenye port yetu later akachange uamuzi tukafate kwenye port za marekani'baadae kidogo akasema tukaichukue kwenye mashamba huko marekani ndipo nyerere akakimbilia russia
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  mpaka hapo USA nimeshaichukia,je?huko kwa KGB nako ilikuwajè.
   
 6. F

  FredKavishe Verified User

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  sijakupata kgb
   
 7. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  lyndon Johson alikuwa vice wa Jf Kennedy .alipouwawa kennedy . Johson akaapishwa kuwa president wa Us. 21 Nov 1963 ndio aliuwawa na Lee Harvey Oswald .
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  KGB=shirika la kijasusi la Russia
   
 9. F

  FredKavishe Verified User

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ndo zikaja sera za ujamaa mwanzo mwisho neema zote za wamarekani zikasepa'
   
 10. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Nani alikupa historia hiyo?

  JFK aliuawa tarehe 22/11/1963 wakati alipokuwa akifanya kampeni kugombea uraisi katika kipindi cha pili huko Dallas Texas. Aliyesingiziwa kumuua alikuwa ni Lee Harvey Oswald ambaye aliwahi kukaa Urusi kwa kipindi kifupi. Na yeye wakati anapelekwa mahakamani aliuawa na Jack Ruby ambaye alikuwa katika kundi la Mafia.

  Jack Ruby alikufa kifo cha kutatanisha gerezani na inasemekana alipewa sumu.

  Mpaka leo hajulikani nani hasa alitoa amri ya kumuua Kennedy ijapokuwa investigations zote zinanyooshea kidole CIA.

  CIA walichukia sana kwa JFK kushindwa kuvirejesha visiwa vya Cuba kwenye himaya ya Marekani.

  Vile vile tabia ya JFK na ndugu yake Robert aliyekuwa Mwanasheria Mkuu kupenda wanawake kupita kiasi ilimweka katika hatari ya kutoa siri za nchi bila kujitambua. Inasemekana alitembea na mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa girlfriend wa Mafia boss mmoja. FBI walikuwa wanamonitor simu zake kwa karibu sana.
   
 11. F

  FredKavishe Verified User

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kaniambia mzee wangu'
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mimi nakupa historical facts. Jaribu kugoogle utapata tarehe sahihi.

  Vile vile kuna documentaries nyingi zimetengenezwa kujaribu kuthibisha theories mbali mbali kuhusu nani walihusika na kumuua JFK (conspiracy theories). Mfano Lee Harvey mwenyewe alisema yeye alibambikiziwa tu hiyo kesi.

  JFK alipigwa risasi sio chini ya tatu kutoka different directions kwa hivyo Conspiracists wanasema haiwezekani kuwa mtu mmoja apige risasi zote hizo.

  Vilevile LH alipokamatwa tu tayari profile yake na picha yake tayari walikuwa navo jee walivipata wapi muda mfupi ule na huyu kijana hakuwa na umaarufu wowote?

  Inasemekana CIA walikwishatengeneza profile yake na kupata picha yake tayari. Picha iliyotolewa kwenye tv alikuwa amevaa suti lakini alipokamatwa kwenye theatre alikuwa amevaa tshirt
   
 13. F

  FredKavishe Verified User

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  sawa na google nw bt main topic ilikuwa misaada yake kwa tanganyika
   
 14. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Fadher yako anakupotosha.
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Na ni vipi ule uvumi kuwa JFK aliuwawa kutokana na kugombea penzi na bilionea wa kigiriki,kuna yeyote anayeujua?
   
 16. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Majanikv huo msaada wa chakula kwa shule za Tanganyika sijawahi kusikia wala kusoma sehemu yo yote.

  By the way Rais aliyetawala baada ya kifo cha JFK ni Lyndon Johnson na siyo Richard Nixon. Nixon alitawala baadae kuanzia 1968.

  Paka mweusi Jackie Kennedy aliolewa na Mgiriki Aristotle Onassis baada ya kifo cha Kennedy. Kwa kweli asilimia kubwa ya Wamarekani hawakupendelea kwa vile mume alikuwa foreigner na Jackie alikuwa na status kama ya queen hivi. Lakini yule Mgiriki hakuvuka anga za JFK alipokuwa hai.

  Conflict iliyokuwepo ilikuwa baina yake yeye JFK na Mafia boss mmoja walikuwa wanashare mwanamke. Boss wa FBI J Edgar Hoover alikuwa hapendi kabisa na alikuwa anamonitor calls zote zinazoingia na kutoka White hse. Na yule mwanamke alikuwa anafuatiliwa kila anapokwenda mpaka akalalamika kwa JFK.
   
 17. n

  nyantella JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ni ni kweli ila huyo demu alikua na link fulani na MAFIA ambaya hadi leo haija julikana na inasemekana moja ya cause ya JFK kuuwawa ni hiyo MAFIA connection.
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  You should know: President Kennedy is so far the only practising Catholic to be elected to the Oval Office.
   
 19. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  si USA tu nchi zote za Magharibi zilikuwa mbaya saana wala hazikuwa na huruma yeyote kwa Afrika esp Tanzania, J eunajua ni kwa nini Nyerere na Kahunda wa Zambia walienda kwa RAISI MAO wa China kuomba kujengewa reli ya TAZARA?
   
 20. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  nyerere na kaunda walienda kwa mao kuomba msaada wa kujengewa TAZARA baada ya western donors kukataa.Western donors walisema hiyo reli haina faida na they were right maana mpaka leo,hii reli imeshindwa hata ku breakeven
   
Loading...