Late CAPT:GEORGE MAZULA a.k.a(mr koroboi)AFIKISHA MWAKA MMOJA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Late CAPT:GEORGE MAZULA a.k.a(mr koroboi)AFIKISHA MWAKA MMOJA

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Pdidy, Jul 31, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,148
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  Dear All,
  kama nilivyowaletea siku ambayo mwenyezi mungu aliamua kukichukua kiumbe chake mpenda watu CAPT GEORGE MAZULA ambae mpaka anafariki alikuwa CHIEF PILOT WA kampuni ya ndege ya tanzania..ATCL
  kesho tar 1 aug anafikisha mwaka mmoja tangu alipotutoka gafula...bwana ametoa na bwana ametwaa...kutakuwa na ibada ya kumuombea marehemu MAZULA karibu na nyumbani kwake kanisa la ST MARTHA na kupata chai na kahawa pale uwanjani tulipomwaga marehemu...bwana ametoa na bwana ametwaa...jina la bwana libarikiwe
  tutazidi kukumbuka upendo wako kujitoa kwako kwa wale wote waliokujia na shida mbali mbali....hakika raha ya millele akupee ee bwana na mwanga wa milele akuangazie upumzike kwa amani kroboi timu tutakukumbuka daima...
  AMIN

  POLEN SANA WAFIWA WOTE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI.....

  R.I.P MAZULA
   
Loading...