Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
wadau nimekua nikitumia laserjrt 4050N printer kwa muda mrefu biala matatizo...ila jana wakati naprint ikagoma na kunipa sms ya "50.2 FUSER ERROR" nimejaribu kusolve hili tatizo siku nzima wapiii.nimesoma internrt hiyo error ikitokea natakiwa kuzima na kuwasha tena printer...nimefanya hivyo ila bado tatizo lipo pale pale...wadau kama kuna mtu anajua utatuzi wa hili tatizo msaada tafadhali...au kama fuser imeharibika inapatikanaje??