Larry Bwalya anauweka majaribuni Ufalme Chama..!

Chama atabaki kuwa Chama na Bwalya atabaki kuwa Bwalya....

Maana ya kuwa na wachezaji wengi wenye ubora ni kwamba si kila siku mchezaji atakuwa vizuri lakini mmoja akiwa chini ya kiwango mwingine anakuwa juu siku hiyo na kuipa timu matokeo refer game ya Simba Vs As Vita jinsi Haruna Niyonzima alivyokua kwenye ubora ile siku.

Lakini kwa ujumla wake mpaka sasa Bwalya bado hajafanya alichofanya Chama....Chama ameamua mechi nyingi ngumu na muhimu...Mechi ya Simba Vs Nkana...Mechi ya Simba Vs As Vita...total domination kwenye game ya robo fainali FA cup Vs Azam matokeo 2-0,total domination kwenye nusu fainali ya FA Cup Vs Yanga matokeo 4-1.

Mchezaji bora FA cup,Kiungo bora wa ligi kuu,Mchezaji bora wa ligi kuu,kuhusu assist sijui niandike au niache maana nimechoka...all in all Chama ni beast Bwalya ana long way to go ku achieve alivyo achieve Chama ndani ya misimu miwili.... Tetesi zinasema kuna mpango wa kuweka sanamu ya Chama hapo Mo Simba Arena(Joke).
 
Chama atabaki kuwa Chama na Bwalya atabaki kuwa Bwalya...
Umeandika vyema, Hoja hapa kiwango cha Bwalya siku za karibuni kimekuwa cha juu mno. Refer mechi na Fc Platinum na hii ya Al Hilal. Sasa Ufalme wa Chama hapo Msimbazi iwapo ataendelea hivi unaingia majaribuni.
 
Dah Bwalya ni mzuri lakini Chama anajua sana kuna baadhi ya mechi zinamkataa kama ya jana ndio anaonekana wa kawaida
 
Chama sio mtu wa kawaida sioni namna yoyote ya kupoteza ufalme wake simba kama akiendelea kuwepo tutapendekeza kwa boss Mo huyu jamaa tumjengee sanamu pale Mo simba arena kumuenzi milele
 
Duh
Chama sio mtu wa kawaida sioni namna yoyote ya kupoteza ufalme wake simba kama akiendelea kuwepo tutapendekeza kwa boss Mo huyu jamaa tumjengee sanamu pale Mo simba arena kumuenzi mile

Chama sio mtu wa kawaida sioni namna yoyote ya kupoteza ufalme wake simba kama akiendelea kuwepo tutapendekeza kwa boss Mo huyu jamaa tumjengee sanamu pale Mo simba arena kumuenzi milele
Duh...! Haya yanaitwa mahaba niue. S.S.C inao wachezaji nguli waliowahi kufanya maajabu uwanjani.Watu kama Mohamed Mwameja,Iddi Pazi,Amani Masha,'Golden Boy'Mogella na wengine wengi...Sasa kama issue ya sanamu inabidi kuwe na mchakato ni nani ni mchezaji wa Simba mwenye ubora kwa muda wote...!
 
Chama atabaki kuwa Chama na Bwalya atabaki kuwa Bwalya...
Bwalya yupo vizuri ndugu wote yeye na ndugu yake Chama wanakiwasha na wanaelewana sana uwanjani mpaka msimu ukiisha na wote wakiwa kwenye form zao, kupata mchezaji bora itakua kizungumkuti. Bwalya ana balaa lake, Chama alichomzidi Bwalya yeye ni mkongwe tayari Simba.
 
Chama ni mkongwe na ameshakaa na Simba kwa mudamrefu. Lakini kwa muda mchache wa Bwalya aliokaa Simba anaonyesha kiwango kizuri. siku za usoni tutegemee Bwalya kufikia ufalme wa Chama pale kati.

Tabia kubwa mbaya ya Chama ni kukusanya kijiji na kusepa nacho kusikojulikana mwisho wa siku nyavu zinatikisika
 
Duh

Duh...! Haya yanaitwa mahaba niue. S.S.C inao wachezaji nguli waliowahi kufanya maajabu uwanjani.Watu kama Mohamed Mwameja,Iddi Pazi,Amani Masha,'Golden Boy'Mogella na wengine wengi...Sasa kama issue ya sanamu inabidi kuwe na mchakato ni nani ni mchezaji wa Simba mwenye ubora kwa muda wote...!
Hao waliifikisha wapi Simba? I mean nataka mafanikio makubwa kimataifa enzi za hao jamaa unaowataja, tuache utani zamani wachezaji walikuwa wavivu sana kuliko siku hizi!
 
Umeandika vyema, Hoja hapa kiwango cha Bwalya siku za karibuni kimekuwa cha juu mno. Refer mechi na Fc Platinum na hii ya Al Hilal. Sasa Ufalme wa Chama hapo Msimbazi iwapo ataendelea hivi unaingia majaribuni.
Ulitaka chama awe mfalme milele?
 
Back
Top Bottom