Lara 1 bado hajapata mtoto jamani? Ni muda mrefu sasa namuona na mimba!

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,730
10,057
Habari zenu wana bodi!

hivi huyu bado hajajifungua tu? kiujumla huyu dada ni mzuri! natamani sana nimuone mtoto wake!!

amber-rose-baby-bump-pic.jpg
amber_rose1.jpg
 
Kwani alibeba mimba nyinginee tena?

mi hata hii ya kwanza ni unconfirmed kwangu! labda lara 1 mwenyewe aje aniambie alijifungua lini na mtoto yuko wapi na anaitwa na anaendeleaje na ana miezi mingapi sasa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom