Laptops and Mobile phones

Innopacho

New Member
Aug 21, 2007
3
0
Hello wanaJF!
Mi ni kijana ambaye nipo nje ya nchi kimasomo na muda sio mrefu nitarejea nchini kuanza maisha rasmi. Sasa nilikuwa nafiiria sana swala la kujiajiri either kwa kuanzisha biashara or kufungua kampuni ya kutoa services mbalimbali. Kwa upande wa biashara nimeshaanza na kwa sasa nimekuwa nimituma laptops na simu za kila aina kwa bei poa tu, unaweza kuniPM(innopacho@gmail.com) kama kuna aina ya simu au laptop unayohitaji au kuweka oda ya vitu hivi. Kwa upande wa kampuni ndio nilikuwa nataka mawazo yenu ya process za kupitia katika kufungua kampuni hapo bongo na mambo yote muhimu katika usajiri wa kampuni hiyo.
Ntashukuru kwa mchango wenu
Regards
 
Nafikiri kabla kuanza biashara lazima ufanye utafiti kabla kusajili .

watafute wataalamu wa biashara watakusaidia.
 
Back
Top Bottom