laptop

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
wadau,

nahtaji kununua laptop,naomba kufahamu ni aina gani ya laptop nzuri yenye bei kuanzia 600,000 hadi 650,000 dukani? Na ni vitu gani vinazingatiwa ili kujiridhisha kuwa hii ni nzuri?

2.vipi kuhusu modem kati ya hzi za voda,tgo,airtel au zantel? Ipi nzuri zaidi?

Nawasilisha

Laptop yako unataka kufanyia kazi gani? ni sawa na mtu anauliza ni gari gani nzuri...unamwambia "Harmer" au "Jaguar" kumbe anataka gari ya kupeleka watoto shule na jioni kwenda kuwachukua...

Laptop unafanyia nini??

labda anataka tu kwa ajili ya fecbuk...kumbe hata nokia torch ingefaa na sms za facebuk za tigo...

Laptop yako unataka kufanyia kazi gani? ni sawa na mtu anauliza ni gari gani nzuri...unamwambia "Harmer" au "Jaguar" kumbe anataka gari ya kupeleka watoto shule na jioni kwenda kuwachukua...

Laptop unafanyia nini??

kaka,ni kwa ajili ya shule zaidi,nafanya Bsc.in Geoinformatics/GIS,course imekaa ki computer science zaidi,ili niwe expert mzuri nafkir nikiwa na mashine,ntaelewa kazi vizuri zaidi mkuu!

angalia ram,hdd na processor,ukipata ya ram kuanzia 512 mb,processor ya kuanzia 1.6ghz na hdd kuanzia 80gb si mbaya sana,kama hutojali ni pm tuchonge zaidi!

Utapata Laptop Dell aspiron..modem kama uko mikoani TTCL, Kama uko Dar Airtel.

Laptop yoyote mpya ambayo ina RAM 2GB itakufaa kama haufanyi anything processor au graphics intensive, personally nakushauri uwe na RAM at least 4GB kuenjoy matumizi. Siri moja ya kompyuta itakayokutosheleza miaka mingi ni iwe na RAM as much as possible au iwe na uwezo wa kuongeza RAM baadae, so nakushauri 4GB ambayo iko upgradable to 8GB. Size ya kawaida 15inch ndo naona zinafaa ikiwa ndogo inachosha kutumia ikiwa kubwa inakuwa nzito sana hautataka kuibeba.

Ukishapata list ya laptops unazotaka nenda Amazon.com na NewEgg.com zitafute kisha angalia reviews, utajua mazuri na mabaya yake.

thanx mkuu

Kaka iyo Bsc GIS ni bongo hapa? Chuo gani?! Last time naulizia walikua Ardhi wanatoa diploma tu

ni hapohapo ardhi,sasa wanatoa degree since 2007 mkuu,last year ndo ilikuwa first grd yao! Kwani vipi mkuu,imekaa njema eeh,bt ni miaka mi4!

Back
Top Bottom