Hi, bandugu! Nimeona kuna watu humu wanaulizia computer. Kuna laptops 2 zinauzwa kwa TShs 600,000 each. Ni refurbished Toshiba, pentium 4 laptops kutoka US. Hard disk: 40GB; RAM: 500MB. Anayeihitaji/zihitaji, anitumie PM.