laptop yangu inasumbua.

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
199
naomba wanaaharuma mnisaidie jinsi ya kudownload office 2007 na kuinstore kwenye laptop yangu maana ile iliyokuwepo dogo kaiunstore,.
 
Mkuu uliniacha kidogo, ila sasa nimeelewa unachomaanisha. Inaitwa install na uninstall.
 
naomba wanaaharuma mnisaidie jinsi ya kudownload office 2007 na kuinstore kwenye laptop yangu maana ile iliyokuwepo dogo kaiunstore,.

Hiyo lugha uliyotumia ni ngumu mno ili mtu aielewe macho lazima yaingie ndani hebu jaribu kuEdit hiyo post yako
 
Back
Top Bottom