Laptop yangu inashida kwenye kuunga wifi naomba msaada

middle east

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,307
1,681
Habari zenu wakuu,

Laptop yangu huwa natumia siku zote bila shida kwenye upande wa network na internet hasa katika kuunganisha wifi na hotspot ya simu.

Sasa leo nashangaa siwezi ku unganisha internet kupitia wife na hotspot ya simu. Yani niki switch on wi-fi ya laptop nione available network inakataa yani haiji wakati kila siku huwa na switch on wi-fi ya laptop zinakuja available network then nawasha hotspot ya simu then na connect bila shida.

IMG_6156.JPG


Kupitia hii picha naomba msaada, nawasilisha.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom