mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,240
- 1,794
Jamani PC yangu hp elitebook imenisumbua na inaendelea kunisumbua nimefikia hatua ninunue nyingine , PC ina miezi 4 nilipobadilisha window na pia jamaa flani aliniambia processor imekufa nikabadilisha sasa kila nikiweka window zinakubali lakini aero effect na transparence hazifanyi kazi alafu mara nyingi hairespond unapo-click program inasema this pc not respond nimejaribu kila njia mpaka nimenyoosha mikono sasa leo nimetumia reemage repair inanipa notification kwamba
MSIINSTALLER, MICROSOFT WINDOW USER PROFILE,(BUILT IN WINDOW APPLICATION NA THIRD PART APPLICALION) zimekuwa crashed since 31/03/2016 saa 7 mchana na hapo mwisho ikazima na kuanza kutoa michelemichele kwenye screen mpa sasa nimeitunza tu maana naona yanipotezea muda. Kabla sijanunua nyingine nipeni maushauri au maujanja ni solve vipi, natanguliza shukrani.