Laptop yangu inaganda ganda

buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
550
401
Habari zenu

Laptop yangu imekumbwa na shida hiyo
Ipo fresh feni inazunguruka fresh ila shida unaweza ukaitumia ila kuna wakati inaganda haibonyezeki batani yoyote

Naamua kuizima tena na naiwasha tena naendelea kuitumia then inaamua kuganda

Msaada wa kutatua tatizo hilo ni nini nimepiga window mara nyingi ila bado
 
Habari zenu

Laptop yangu imekumbwa na shida hiyo
Ipo fresh feni inazunguruka fresh ila shida unaweza ukaitumia ila kuna wakati inaganda haibonyezeki batani yoyote

Naamua kuizima tena na naiwasha tena naendelea kuitumia then inaamua kuganda

Msaada wa kutatua tatizo hilo ni nini nimepiga window mara nyingi ila bado
ikiganda ina stack tu ama ile cursor inakuwa kama inaload kwa kuzunguruka hali ya kuwa huwezi fanya chochote?
 
hapo inahitaji heat cooling compound , inawekwa kwenye processor na vga,,na kupigwa blower safi, kama upo dar tuwasilia nikufanyie hiyo kazi mara moja

inaoneka ww sio fundi kabisa, unameza kuliko kuelewa
 
Kama inastack

Cusor haizungutuki inaonekana kimshale tu
Kwanza angalia hard disc uwenda inatatizo,
Windows pia uchangia hilo tatizo kama windows itakuwa na shida pia angalia cooling system kama inapata Moto Sana ujue hilo ndio tatizo lenyewe fanya hayo kwanza
 
kwani yeye kakwambia inaheat? wapi umemuuliza??

Mashine kustack kuna assumption 100 Kidogo.

kuna issue za hardware na software, sasa ww hujataka hata kujua ww unakimbilia kupiga blower na kuongeza compaund

Ona wenzio wanauliza kama Cursor inaonesha inaload na mambo mengine ili wajue ni software au hardware

Sasa ww moja kwa moja umeenda kwenye solution wakati shida yake haina jibu la moja kwa moja
 
pia hapo jamaa amepiga windows mara nyingi na anasema tatizo liko pale pale,,, means hilo tatizo sio la software... hilo ni hardware problem,,
AU WEWE KICHWA MAJI LETE SULUHU YA TATIZO HAPA,,, NYIE NDIO WALE MNAANZA MARA VIRUS,,, MARA WINDOW IME CORRUPT HAPA KASEMA AMEBADILI WINDOW,, lete majibu hapa in term of hardware:(:mad::cool::mad:

Wewe ndo kichwa maji, Reply yako ni ya 3 kwenye hii thread, mambo ya kupiga windows umeyaona wapi?
 
Hard disk ikianza kufa ama ikiwa slow sana inaweza leta tatizo kama hili, wakati huo ikistack stack ama kuwa slow jaribu kufungua task manager angalia upande wa Hdd haijaja 100%?
Ikistack haibonyrzeki sehemu yoyote nazima then nawasha tena
 
Mkuu nimefatilia mazungumzo ya wataalamu wetu hapo juu, wewe kidogo umeelezea kiufundi japo kwa ufupi.

Kitu cha kwanza kujua ni specification za device yako, then ndio uta predict changamoto ni ip!
Naomba specifications zako za pc , RAM HDD WIN GANI UME INSTALL BIT NGAPI
 
Mkuu nimefatilia mazungumzo ya wataalamu wetu hapo juu, wewe kidogo umeelezea kiufundi japo kwa ufupi.

Kitu cha kwanza kujua ni specification za device yako, then ndio uta predict changamoto ni ip!

Na kitu kimoja amesahau hapo inabidi kujua window gani anatumia maana kila aina ya window ina specifications tofauti kabisaa anawezs kuambiwa hivyo alivyouliza hapo ila asijue ni window gani??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom