Laptop yangu imevamiwa na wiot virus

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Kama kichwa kinavyojieleza, naombeni msaada jinsi ya kuitoa hiyo virus na kurudisha mafail yangu katika format sahihi.

Kwasasa picha, audio, video, docs etc zote zipo locked na .wiot format, hivyo siwezi hata kuzifungua.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Nasikitika kukwambia umepigwa RANSOMWARE.
1. Usilipe hiyo pesa wanataka na sio guarantee watakufungulia
2.Unaweza kusearch online kama hiyo .wiot inaweza kuwa decryoted
3. Full format your HDD/SSD

Mnunuage basi antivirus nzuri

----

Hapa ndio mimi nilipata kipigo enzi hizo
 
Muwe makini na kudownload ma vitu huko torrents hasa pirated softwares. Nunua strong anti-virus weka kwenye mashine ako.

Virus wa computer wabaya sana sitaki hata kukumbuka. Waliniharibiaga HDD yangu yenye miziki ya kazi angu zaidi ya miziki 500k
 
D

ah, yaani nimesikitika sana kwani ni zaidi ya wiki sasa bila mafanikio, nami ndo hivyo ntapoteza vitu vingi sana
 
Muwe makini na kudownload ma vitu huko torrents hasa pirated softwares. Nunua strong anti-virus weka kwenye mashine ako.

Virus wa computer wabaya sana sitaki hata kukumbuka. Waliniharibiaga HDD yangu yenye miziki ya kazi angu zaidi ya miziki 500k
Ni kweli, na nilikuwa natafuta kitu cha kijinga kweli.
 
Msafiri Kasian
Unaweza kuiformat pc haraka then ujaribu data recovery. Hiyo ndiyo njia rahisi zaidi, ingawa uhakika wa kurudisha vitu vyote ni asilimia ndogo.
Si unajua hizo files mpya (encrypted files) zinavyozidi kukaa kwenye pc kwa muda mrefu zinaoverwrite ile kumbukumbu ya files za mwanzo kwenye hard drive. Kwa hiyo hata ukifanya recovery kwa kuchelewa zitakuwa zinarudi hizo encrypted files ambazo zimekuwa encrypted na ransomware.
 
Nitumie program gani kurecover?
 
Nitumie program gani kurecover?
Tumia EaseUS partition recovery, ingawa inakuwa ni ya kulipia kwa hiyo tafuta cracked version. Na kwenye recovery unatakiwa uwe una storage ya pembeni kama external drive ambayo itatumika kama target drive kwa ajili ya kuhifadhi hizo recovered files.
 
A

Asantee
 
hadi sasa bado cjafanikiwa kurecover data zilizopotea kwenye PC yangu kutokana na wiot virus kubadili data zote. Naomba ushauri, niformat kila kitu kwa kweka windows upya then nirecove ama nifanyeje?
 
Tumia EaseUS partition recovery, ingawa inakuwa ni ya kulipia kwa hiyo tafuta cracked version. Na kwenye recovery unatakiwa uwe una storage ya pembeni kama external drive ambayo itatumika kama target drive kwa ajili ya kuhifadhi hizo recovered files.
Samahani mkuu, nimetumia hii EaseUS data recovery lakini baada ya kuscan data zinaonekana shida nikirecover ina stuck at 0%, nifanyeje? msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom