Laptop yangu imekata sauti ghafla, msaada tafadhali

gezzle

Senior Member
Dec 23, 2016
128
88
Laptop yangu imekata sauti ghafla,bado cjajua tatizo lakini upande wa software kwenye setting pako vzuri.
 
Perform Diagnosis kwenye mfumo mzima wa sauti ili ujue tatizo liko wapi......
 
Nina hp probook 430 G1 notebook speaker zake hazipigi kazi ila ukichomeka earphone kwenye female jack ya mic zinapiga kazi fresh....tatizo yaweza kuwa nini.....ukitumia earphone sauti unapata vizuri
 
Nina hp probook 430 G1 notebook speaker zake hazipigi kazi ila ukichomeka earphone kwenye female jack ya mic zinapiga kazi fresh....tatizo yaweza kuwa nini.....ukitumia earphone sauti unapata vizuri
matatizo ni hayohayo either sound drivers au problem za speaker as long as headphone inafanya kazi sound system iko vizuri tu
 
matatizo ni hayohayo either sound drivers au problem za speaker as long as headphone inafanya kazi sound system iko vizuri tu
Na speaker zinafanya kazi endapo tu ukichomeka pin ya earphone kwenye jack ya mic.....driver kila kitu viko poa
 
Mi PC yangu HP baada ya kubadirisha window,ukichomeka pin ya earphone haifanyi kazi, haiwezi kupunguza mwanga, wala wifi button ukibonyeza haifanyi kazi sijui tatizo litakuwa driver na kama ndio nitazipataje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom