Laptop yangu haiwaki mpaka nichomeke adapter, tatizo nini?

issa mweusi

JF-Expert Member
May 31, 2015
1,477
1,137
Naombeni msaada,laptop YANGU imegoma kuwaka kawaida hadi uchomeke adopter,tatizo ni nini?tatizo Lina siku ya tatu na ilikua haisumbua hapo mwanzo
 
Chomoa betri kisha weka adapter washa laptop itaweka

Betri hiyo itupe tafuta mpyal
 
Mi yakwangu imezima ghafla tu,haiwaki kabisaa,ilianza kupiga kelele kama gari inarudi Rivasi huku ikiwaka taa na kuzima,mpaka leo kimyaa..sijui tatizo nini.Nisaidieni
 
Mi yakwangu imezima ghafla tu,haiwaki kabisaa,ilianza kupiga kelele kama gari inarudi Rivasi huku ikiwaka taa na kuzima,mpaka leo kimyaa..sijui tatizo nini.Nisaidieni
Processor hiyo

Huenda imekufa au tafuta fluid pakaa kwenye processor na safisha CPU fan kama isipowaka..tafuta processor mpya lkn nakushauri bora ununue laptop mpya kuliko kununua processor
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom