Ombenichelsea
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 723
- 997
Ni kwa ajili ya games na program za kuidit picha. Hapa ilipo sasa hivi ina capacity ya GPU 128MB. Sasa kuna baadhi ya games hazichezi. Naomba mnipe ujuzi kidogo kama inawezekana kuupgrade GPU katika aina hiyo ya laptop na kifaa cha kuupgrade GPU naweza nikapata kwa bei gani dukani au nikiipeleka laptop kwa fundi naweza anaweza akanitoza bei gani. Ningependa niupgrade GPU iwe angalau na 1GB. Natanguliza shukrani.