Laptop Skins needed

Mnandi

Senior Member
Aug 30, 2011
156
25
wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha??,,,nashkuru sana..

37122425.png
82967482.jpg
23556602.jpg
code33chelsea.jpg
29007262.png
28975616.png
65957212.png
87204785.jpg
 
mimi nataka ya chama cha magamba bana full kijani kibichi ila kiwe na nembo ya fweeza ,badala ya jembe na nyundo kuonesha kiukubuhu kwa ufisadi
 
I real admire that laptop skins for Gunners, kwa wanaofaham update jaman
 
mimi ninazo different stlyles ninauza kwa elfu 8 tu,,za design za football clubs nauza elf 13000tsh.0713388226
 
Back
Top Bottom