Laptop mpya ya kisasa ipo sokoni

Mwisho 830k kiongozi, hii mashine ina miezi 3 tu nauza kwa dharura nasafiri. HP Pavillion envy 170 touchscreen hiyo bei nayotoa haifiki hata nusu ya bei yake niliyonunulia
Mkuu watu kama hawa ni wa kuvumilia tu
 
Hata nusu ya bei sijafika nafikiri hawazifahamu hizi mashine
Screenshot_20170924-232244.png
 
Mwisho 830k kiongozi, hii mashine ina miezi 3 tu nauza kwa dharura nasafiri. HP Pavillion envy 170 touchscreen hiyo bei nayotoa haifiki hata nusu ya bei yake niliyonunulia
Naomba mawasiliano yako chief kama bado hujapata mteja.
 
hili nalo ni janga...., yani mtu anaona kitu standard kabisa hicho amazing, halafu bado unaleta uswahili eti apunguziwe tena
kaongea uwezo wake, haina maana kujitutumua halafu ikifika muda wa kukutana kulipa apewe mzigo anakuwa hapokei simu au anatoa udhuru kuwa yuko safarini n.k.
 
Kwa hizo specs kama hela tu hata mil.1 ningekupa kiroho safi sema sina tu kwa sasa, kwa mtu anaejua mashine ya kazi ndio atanielewa.

Hapo tupia adobe yeyote twende kazi, sony vegas, fruity loops fanya rendering ni kama kumsukuma mlevi...Wale wapenda games latest aina yeyote twende kazi. Its an excellent laptop aisee.

Nimefurahi zaidi kuona processor ni ya latest generation maana wengine wanapigwaga hela tu mjini kwa kisingizio cha Corei7 bila kujua gen. matters
 
mashine mimi naitaka kwa kweli.. hela tu ndio sina.. na usawa huu laki 8 kuipata fasta fasta sio kazi ndogo...

nimejikakamua savings zangu zote nina laki 5 cash

kama utaridhia nikupe laki 5 cash hata leo + laptop yangu nayotumia asus netbook

ASUS Eee PC X101CH 10.1 inch Netbook - Black (Intel Atom N2600 1.6GHz, 1GB RAM, 320GB HDD, LAN, WLAN, Webcam, Windows 7 Starter)
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom