laptop mpya kwa bei nafuu sanaaa!

Kuwa kwenye Box siyo hoja zungumza ukubwa wake na BEI mkuu ni kiasi gani?
muhimu sana nahitaji nami kumnunulia shangazi yangu anayesaoma university
Dell N5050--brand new with the following specs:
hard disk 320gb
ram 2gb
Intel duo core, 2.2 ghz
webcam
 
Kibwebweto Mpakato
-
Kidada -vuzi Mpakato

Mngekua mnatumia haya majina ili kukuza kiswahili.
 
Hii inaweza kunifaa kwa internet. Mpo mtaa/barabara gani hapa dar? maana kesho narudi bushi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom