komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Dell N5050--brand new with the following specs:Kuwa kwenye Box siyo hoja zungumza ukubwa wake na BEI mkuu ni kiasi gani?
muhimu sana nahitaji nami kumnunulia shangazi yangu anayesaoma university
Mkuu kama umeamua kufanya biashara, acha usiri. Unatunyima haki ya kikatiba sisi tunaotumia simu!