..mi nataka used yoyote inayokaa na charge kwa siku nzima,bajeti laki 2...
nicheki fasta whatsap 0755 927881
..mi nataka used yoyote inayokaa na charge kwa siku nzima,bajeti laki 2...
nicheki fasta whatsap 0755 927881
....... haijawekwa hata windows, inauzwa laki 5. ......
Si zinakuja zikiwa na OS, hiyo yako ikoje?
kaitoa window akuuzie si unajua mpya tna!Si zinakuja zikiwa na OS, hiyo yako ikoje?
Bado ipo mkuu?
Nina lak nne niambie nikufuate popote leo hii
Na mimi nahitaji dell mini laptop
Laptop HP pavilion i3 bado ni mpya haijatumika na haijawekwa hata windows, inauzwa laki 5.
Laptop haina OS kwa laki 5? Labda uhuze laki 2. Hapo mnunuzi itabidi anunue OS, anunue softwares kwa ajili ya drivers nk.