Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 213
Habarini wadau nauza laptop yangu ni lenovo G 510 specifications zake ni
i5
RAM 4GB
HARD DISK SPACE 1000GB
imetumika miezi 6 tu so still bado ina warranty yake na kila kitu chake kipo na ipo kwenye hali nzuri
Sababu ya kuiuza nimepata shida ya ghafla so nahitaji pesa kwa haraka
Bei ni laki sita lakini maongezi yapo tunaweza kuongea na nimeweka picha zake hapo chini.
Nipo Mbeya karibuni sana
Unaweza kunipata kwa 0653 35 62 52
Au nitumie private SMS