Laptop Lenovo G 510 inauzwa i5 Hard disk space GB 1000 Ram 4GB

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
796
250
Habarini wadau nauza laptop yangu ni lenovo G 510 specifications zake ni
i5
RAM 4GB
HARD DISK SPACE 1000GB
imetumika miezi 6 tu so still bado ina warranty yake na kila kitu chake kipo na ipo kwenye hali nzuri
Sababu ya kuiuza nimepata shida ya ghafla so nahitaji pesa kwa haraka
Bei ni laki sita lakini maongezi yapo tunaweza kuongea na nimeweka picha zake hapo chini.
Nipo Mbeya karibuni sana
Unaweza kunipata kwa 0653 35 62 52
Au nitumie private SMS
 

Attachments

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
796
250
Wadau mzigo bado upo krbuni japo wadau wanatokea lkn tunashindwa kufika makubaliano either ya bei au utumaji wa mzigo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom