Laptop kwa walimu.

stweka

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
422
144
Mtukufu rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, pole na majukumu ya kujenga nchi,changamoto ni nyingi ikiwa ni pamoja na suala la kidemokrasia,sigusi huko kwa sasa maana ni sehemu nyeti sana, ila leo mi nna ombi 1 tu,sisi walimu tunaomba utusaidie kwa kutupatia laptop,lengo ili zitusaidie kusoma distance learning maana nasikia tu humu mtandaoni eti ruhusa za masomo zimefutwa,ila mimi sijui kama kweli,ukileta basi tuwekee modem kabisa inayoingia laini yoyote,tupe na solar maana wengine hatuna umeme wa rea,pesa za mb tuongezee tu juu kwa juu kwenye salary,ukifanya hivyo utanikosha kweli,maana mi hadi leo najuta kuikosa ile promotion ya elimu, elimu, elimu, na hasa nachanganyikiwa nnapoambiwa mkopo wa elimu ya juu sipati,kazi njema.
 
mtaisoma namba kwa kushabikia ccm,ona sasa unataka laptop wakati hata nyumba za kuishi walimu tatizo
 
Yaani hawa walimu wanaolia lia humu sasa hivi ndio walikuwa vimbele-mbele kuvaa kofia za kijani na na khanga za njano kipindi cha kampeni mwaka jana.Ndio mkome!Namba mmeanza kuisoma,ndio kwanza no 1.
 
Mtukufu rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, pole na majukumu ya kujenga nchi,changamoto ni nyingi ikiwa ni pamoja na suala la kidemokrasia,sigusi huko kwa sasa maana ni sehemu nyeti sana, ila leo mi nna ombi 1 tu,sisi walimu tunaomba utusaidie kwa kutupatia laptop,lengo ili zitusaidie kusoma distance learning maana nasikia tu humu mtandaoni eti ruhusa za masomo zimefutwa,ila mimi sijui kama kweli,ukileta basi tuwekee modem kabisa inayoingia laini yoyote,tupe na solar maana wengine hatuna umeme wa rea,pesa za mb tuongezee tu juu kwa juu kwenye salary,ukifanya hivyo utanikosha kweli,maana mi hadi leo najuta kuikosa ile promotion ya elimu, elimu, elimu, na hasa nachanganyikiwa nnapoambiwa mkopo wa elimu ya juu sipati,kazi njema.
Pole sana wewe uliyechelewa kujiendeleza, kwa hivi sasa magufuri anataka watu waliobobea kwenye fani sio wanaojiongeza kuanza usumbufu upya, yaani ukimaliza hizo shule zenu unaanza mazoezi upya, wakati kuna mu amesomea kazi hiyo na ameistahimili kwa miaka kibao. magu anataka ukiamua kusoma weka malengo, unapoishia ndio mwisho wako wataalam wengine watapaendeleza waliosoma mpaka mwisho huu.
 
Mtukufu rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, pole na majukumu ya kujenga nchi,changamoto ni nyingi ikiwa ni pamoja na suala la kidemokrasia,sigusi huko kwa sasa maana ni sehemu nyeti sana, ila leo mi nna ombi 1 tu,sisi walimu tunaomba utusaidie kwa kutupatia laptop,lengo ili zitusaidie kusoma distance learning maana nasikia tu humu mtandaoni eti ruhusa za masomo zimefutwa,ila mimi sijui kama kweli,ukileta basi tuwekee modem kabisa inayoingia laini yoyote,tupe na solar maana wengine hatuna umeme wa rea,pesa za mb tuongezee tu juu kwa juu kwenye salary,ukifanya hivyo utanikosha kweli,maana mi hadi leo najuta kuikosa ile promotion ya elimu, elimu, elimu, na hasa nachanganyikiwa nnapoambiwa mkopo wa elimu ya juu sipati,kazi njema.
Ahadi za mwendokasi!
 
mtaisoma namba kwa kushabikia ccm,ona sasa unataka laptop wakati hata nyumba za kuishi walimu tatizo
Mtukufu rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, pole na majukumu ya kujenga nchi,changamoto ni nyingi ikiwa ni pamoja na suala la kidemokrasia,sigusi huko kwa sasa maana ni sehemu nyeti sana, ila leo mi nna ombi 1 tu,sisi walimu tunaomba utusaidie kwa kutupatia laptop,lengo ili zitusaidie kusoma distance learning maana nasikia tu humu mtandaoni eti ruhusa za masomo zimefutwa,ila mimi sijui kama kweli,ukileta basi tuwekee modem kabisa inayoingia laini yoyote,tupe na solar maana wengine hatuna umeme wa rea,pesa za mb tuongezee tu juu kwa juu kwenye salary,ukifanya hivyo utanikosha kweli,maana mi hadi leo najuta kuikosa ile promotion ya elimu, elimu, elimu, na hasa nachanganyikiwa nnapoambiwa mkopo wa elimu ya juu sipati,kazi njema.
acha kulia ,ni jpm anayenyonga walimu kwa mara nyingine na nyinyi fundisheni kichina ili muwakomeshe
 
Back
Top Bottom