laptop kutoa upepo

MAENE

Senior Member
Jan 7, 2011
116
22
habari wadau

Naomba mnijuze,ni kawaida kwa laptop kutoa upepo fulani upande wa kushoto?nina laptop yangu inafanya hivyo baada ya muda inatulia.na sababu ni nini?

Asanteni.
 
Feni hio wewe.......kuna dada mmoja alinunua gari baadae akagundua kuwa haitoshi but Kuna nyakati Fulani inatoa maji. Dada huyooooo kwa mchina anataka atengenezewe gari maana aliyonayo inatoa maji. Mpwa hio ni feni inapooza machine
 
eeeeh kumbe kawaida! asanteni jamani,yaani ilibaki kidogo tu nimpigie fundi.looh!JF IDUMU.
 
habari wadau
Naomba mnijuze,ni kawaida kwa laptop kutoa upepo fulani upande wa kushoto?nina laptop yangu inafanya hivyo baada ya muda inatulia.na sababu ni nini?
Asanteni.
kweli ni kawaida kwa laptop hata Desk top kuwa na fan kwani hupuza vitu vingi humo ndani km Processor, Hard Disk n.k.
[h=2]labtop kutoa upepo[/h]
 
usihofu ni kawaida kabisa. hakikisha unaweka laptop yako juu ya kitu kigumu kilichonyooka, ilikuwezesha upepo kupita vizuri. usiweke laptop juu ya godoro wala juu ya kitambaa kizito.

habari wadau

Naomba mnijuze,ni kawaida kwa laptop kutoa upepo fulani upande wa kushoto?nina laptop yangu inafanya hivyo baada ya muda inatulia.na sababu ni nini?

Asanteni.
 
usihofu ni kawaida kabisa. hakikisha unaweka laptop yako juu ya kitu kigumu kilichonyooka, ilikuwezesha upepo kupita vizuri. usiweke laptop juu ya godoro wala juu ya kitambaa kizito.

hee leo napata mapya! mie siku zote nikitumia laptop yangu hadi mida hii nimeipakata mapajani.naona ndo nakua confortable zaidi.ni sawa?
 
Duh swali zuri sana hili, huyo ni Cooling Fan na huko unakopitia ni katika ventilators na inafanya kazi sawa sawa na processor pamoja na vga ya pc yako. Kuwa mpole fanya makamuzi:D
 
habari wadau

Naomba mnijuze,ni kawaida kwa laptop kutoa upepo fulani upande wa kushoto?nina laptop yangu inafanya hivyo baada ya muda inatulia.na sababu ni nini?

Asanteni.

.
Kuna wakati inatoa Joto, Tena la maana tu!
.
.
 
.
Kuna wakati inatoa Joto, Tena la maana tu!
.
.

ni sawa na mara nyingi inatoa hivyo kama ulizuia vent kuvuta hewa ya nje. Sasa unakuta mashine ilishapata joto kwa hiyo inapopata hewa safi inajaribu kutoa joto lote ndani ya mashine yako. Kiushauri zaidi mashine yako katika vent za chini zinatakiwa kuwa wazi. Pia hiyo ni automatic fan ambayo inawaka pindi processor ikiwa imepata joto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom