jameson567
Senior Member
- Mar 14, 2018
- 148
- 1,000
Nauza laptop yangu HP 210 G1 Core i3, Specs.. RAM 4GB, HD 320 GB. Battery 5-6 Hours, Window 7 Professional. Haina tatizo lolote bei ni laki 3(300,000). Nitaambatanisha na picha, laptop imetunzwa vizuri sana ilikuwa inakaa ndani mezani tu. Ipo Dar es salaam maeneo ya Uhasibu karibu na saba saba.Kama unaihitaji nipigie 0678367475.