Laptop ina kwama kupiga window kila ikifika nusu

Cachondo

Senior Member
May 6, 2019
144
139
Msaada wenu jamani, nina laptop yangu inagoma window ikifika nusu karibu na mwisho, nimepiga window 7 na window 8 zote zikifika nusu zinakataa, laptop yangu ni lenovo, ram Ģb 2, na HDD ni GB 500. Tatizo laweza kuwa ni nini na mnanisaidiaje wakuu
 
Ina andikaj ikifika sehemu iyo
 
Format hiyo HDD.Kama kuna vitu umetunza kwenye hiyo HDD,copy kwenye External HDD.Install hiyo 7/8/8.1/10 na baada ya hapo weka Partitions zako ukitumia Easy US.
 
Back
Top Bottom