Laptop Hp Nyeupe

AMAFUMU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
221
112
Nimeibiwa laptop Hp nyeupe jana 14.11.2017 maeneo ya kigamboni.

Please kwa yeyote yule aliyeiba ama la.
Naomba kuuziwa tena hiyo laptop kwani mali iliyobeba ni zaidi ya maisha yangu.

Nitakachoweza ni kuinunua tena kwa namna yoyote ile.

Call 0714227532 ama whatsAp 0627911500.
 
Pole sana! Nakuelewa unavyosema hivyo. La kujifunza tuwe na mazoea ya kuchukua Backup, Maana mtu anaweza kukurudisha nyuma miaka kumi.
 
hiyo laptop nimeuziwa jana 250,000 njoo pm tuyajenge naiuza kwa sh 1,200,000 kama upo serious ukuje P.M tufanye miamala.
 
Back
Top Bottom