Laptop hii sasa kero, msaada please.

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Laptop yangu inafunguka kama kawaida. Ikifikia wakati fulani, keyboard inaji lock. Mouse haifanyi kazi, pointer ina simama, It means siwezi endelea na kazi yoyote mpaka kuboot. Nimefuta almost doc zote ikawa na free space kwenye HD bado inasumbua! Mbaya niki boot unsaved doc zote zinapotea. Naweza rekebisha vipi? Laptop ni IBM, 20GB, 640 RAM
 
Inawezekana OS iliyopo imezidi uwezo wa processor maana kuna wakati nilikuta mtu ameweka window 7 kwa pentium III inafikia mahali inashindwa kuendelea, binafsi ningependa kujua Speed ya machine na OS (operating system) inayotumia. kama documents ni chache basi fanya backup na uprogram upya na ikishindikana muone mtaalamu aangalie zaidi upande wa hardware.
 
Laptop yangu inafunguka kama kawaida. Ikifikia wakati fulani, keyboard inaji lock. Mouse haifanyi kazi, pointer ina simama, It means siwezi endelea na kazi yoyote mpaka kuboot. Nimefuta almost doc zote ikawa na free space kwenye HD bado inasumbua! Mbaya niki boot unsaved doc zote zinapotea. Naweza rekebisha vipi? Laptop ni IBM, 20GB, 640 RAM

Probality inawezekana tatizo
  • kuna interrupt conflict kati ya hardware. so Jaribu kustart mashine yako kwenye safe mode then fanya observation kama tatizo linaweza kuwepo. sometime kuna USB device kama mouse zinaweza kusbabaisha matatizo kwa baadhi ya latop za zamani
  • kuna bakcground computer process kibao zinaztumia memory na CPU time hivyo laptop kushindwa kupumua. Kuna kitu kinaitwa Deadloack. Unaweza kusma hapa Deadlock - Wikipedia, the free encyclopedia. So Jaribu kuangalia uwezekano wa process zisizo za lazima zinaazotumia CPU na emory kila kompyuta ikiwashwa. Nenda kwente start run kisha andika msconfig. Window itayokuja jairbu ku disable unnessary prcess kama yahoo messger msn messeger
  • Vile vile katika kutafuta chanzo halisi unaweza kueleza inajilock ukiwa katika session gani. I meana ukiwa unatumia MS officeau Firefox au ukisiiliza CD au kutazama movie ? kama inajilock ukiwa uatumia excel, word. tu Unaweza kukuta tatizo ni version ya Ms office unaytumia. kama inajillock kwa application yeyote ile unayo basi ni OS au harwade.
Angalizo
Kwa nini latop yako inaonyesha RAM 640.? Total capacity ya RAM iliyopo kabla ya kukpuliwa na OS na resouces nyingine ni kiasi gani ? Ni application gani inayotafuna RAM kubwa zaidi.? Chunguza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom