Laptop haiboot from cd!msaada frnds! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop haiboot from cd!msaada frnds!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by chrisman49, Jul 16, 2012.

 1. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Laptop haiboot from cd!msaada frnds!
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Laptop yako ni aina gani? ukisema ni aina gani itakuwa rahisi kukusaidia:A S-omg:
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  afu mkuu ungeweza kufungua thread moja tu na kuweka matatizo yako yote humo..ndio inakuwa rahisi kusaidiwa kwa haraka kuliko kila kimoja kufungulia thread yake wakati vitu vyenyewe vinafanana..anyway, kwa tatizo la kuboot kuna mawili, either hujaset boot order kuanza kwenye cd kabla ya HDD so haipitii cd rom wakati wa kuwaka..au either cd au cd rom yenyewe ina tatizo!! jinsi ya kuset i boot from cd inategemea na aina ya pc uliyonayo..ingawa nyingi huwa unaanza ka kuingia boot settings kwa ku press F2 wakati inawaka(sio pc zote)..so inategemea we unatumia brand gani!kwa thread ya "what is the best antivirus?" nayo inategemea na specs za pc yako..kuna antivirus ambazo zinataka pc iwe na uwezo mkubwa (RAM/PROCESSOR) ili ifanye kazi vizur mf. kaspersky, norton.. na pia uwe na internet iliyotulia kwa ajili ya updates, sio kama internet za vi modem vyetu hivi za kuvizia! na zipo za kawaida tu ambazo pia inahitaji uwangalifu kuchagua kwani zipo ambazo zimekaa ki promo (za kulipia)zaidi lakini matatizo matupu mi naona..mf. hiyo raising, panda na nyinginezo ambazo kila siku unasikia watu wanalia nazo..!! lakini pia zipo ambazo ni free lakini ni limited mf avira free, avast free na nyinginezo...ni nzuri lakini hazikamati virus wote na kuna vitu wanalimit mfano online protection! so chaguo ni lako... Kwa mimi binafsi natumia MICROSOFT SECURITY ESSENTIALS (MSE) na tangu nianze kuitumia sijawahi kufikiri kuitoa na wala haijawahi kiniletea ishu yoyote , nilishawahi kutumia antivirus zaid ya kumi before but in all hii ndo the best kwangu!! Ni free, afu ni ya kampuni inayoeleweka (microsoft), nyepesi, na updates zake ni rahisi..unaweza download manually au ikafanya automatic updates! so kama unaitaka (nakushauri uitumie) we google tu hilo jina hapo juu(MSE) na utaipata free..kuhusu "Rising antivirus haitaki kutoka" thread, ndio hayo matatizo ya antivirus za ki promo..wanajidai kuitangaza kwa kuweka mbwembwe nyiingi lakini hamna kitu..zinavuruga sana registry! sasa cha msingi hapo ni kutafuta ccleaner ili ufanye registry cleanup..au fanya system restore tarehe ya nyuma kabla ya kuweka hiyo antivirus ..pia unaweza kuingia kwa safe mode afu ukajaribu kuitolea huko...
   
 4. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kama inaagoma, njia rahisi ni ku boot from usb drive, hii ni spidi kuliko cd coz kusoma image ya cd ni ngumu kama cd ina scratch kuliko kusoma direct from usb
   
 5. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  thnx guysssss
   
Loading...