LAPTOP Dell D620 inauzwaa!!changamkaaa! fasta fasta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LAPTOP Dell D620 inauzwaa!!changamkaaa! fasta fasta!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MtuMmoja, Aug 24, 2012.

 1. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wadau kuna dell d620 inauzwa hapa,ni USED ina mwaka mmoja na nusu
  RAM=1GB
  HDD=80GB and 32bit OS
  BEI=Tsh 280,000/= za kitanzania
  Matatizo 1.Betri imekufa
  2.Ina small ink spot katika screen dizain kama wino umetawanyika hivi pembeni mwa screen IKO BOMBA!!
  mawasiliano 0718990729 TABATA,DAR!
   
 2. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Nahisi kama vile umekosea jukwaa,.
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkubwa kuna jukwaa maarumu kwa hizi mambo, sio jukwaa hili
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  futa uchafu wako bhana...inaonyesha ni kiasi gani ulivyo na akili fupi..hata kusoma hili ni jukwaa gani huwezi!!!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Hyo machine hata laki sichukui.
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Men r u serious!! Hayo matatizo 2 uliyoyasema kuyarekebsha ni laptop mpya, afu ontop yapo on D620, yenyewe 2 ni problematic! Sitaki kukuchafulia hali ya hewa but nakushauri punguza bei ku compensate with d probs, au ndo bei maelewano!
   
 7. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  hiyo mashine yako ya kukoboa ni ndoa ya kikristo
   
Loading...