Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Huyo mtu amesema ilianza kujengwa 2014. Nimekuwekea several newspaper articles zinazosema the same thing lakini unapuuza. Wewe unaweka hii article moja kama proof. Mimi nimekuwekea articles kadhaa sio moja tu. Nitazidi kuleta more and more sources zinazosema kwamba ujenzi ulianza 2014/2015Mtu mwenye wivu hana facts mimi nakugonga na facts everyday hata juzi nimekuwekea fact hii port imeanza kujengwa 9 years back!
Lapsset project works still on, nine years later
As the region looks forward to the commencement of works on the Uganda-Tanzania pipeline, Kenya’s pipeline has been in the works since 2012.www.theeastafrican.co.ke
Point yangu ilikuwa ni kukuonyesha kwamba hata Wazungu wameanza kutake notice of Lamu port. Wewe baki hapo na majungu.Mtu mwenye wivu hana facts mimi nakugonga na facts everyday hata juzi nimekuwekea fact hii port imeanza kujengwa 9 years back!
Lapsset project works still on, nine years later
As the region looks forward to the commencement of works on the Uganda-Tanzania pipeline, Kenya’s pipeline has been in the works since 2012.www.theeastafrican.co.ke
Mbona unasumbuana na huyo mzee? What's the big deal hata kama ilianza 1953? The good thing is that Lamu Port is complete and operation is starting in June.Huyo mtu amesema ilianza kujengwa 2014. Nimekuwekea several newspaper articles zinazosema the same thing lakini unapuuza. Wewe unaweka hii article moja kama proof. Mimi nimekuwekea articles kadhaa sio moja tu. Nitazidi kuleta more and more sources zinazosema kwamba ujenzi ulianza 2014/2015
Na ulivyokuwa unanitukana kuhusu lamu port kujengwa zaidi ya miaka 9? Unaona upumbavu wako!Point yangu ilikuwa ni kukuonyesha kwamba hata Wazungu wameanza kutake notice of Lamu port. Wewe baki hapo na majungu.
Kama kuna kitu huwa inauma huyu mtu ni kukubali kwamba Lamu port imejengwa in 5 years. Hawezi kubali. Afadhali akufe but hawezi kamwe kukubali hio maneno. Yeye anataka kujidanganya eti Lamu port imejengwa in 10 years ndio afeel better about the whole situation. Anataka kufeel superior by saying eti hapa Kenya huwa tunadelay projects zetu. Hio ndio inampatia nafasi ya kuita Lamu port "White elephant." Because the entire premise behind calling Lamu port a white elephant port is the wrong assumption that it has taken 10 years to build Lamu port. And I will never give him the satisfaction of calling Lamu port a white elephant especially if he is going to lie about how long it took to Build it. Lazima ning'ang'ane na hii jangili hadi mwisho.Mbona unasumbuana na huyo mzee? What's the big deal hata kama ilianza 1953? The good thing is that Lamu Port is complete and operation is starting in June.
Lamu port
Kwani Lamu port ipo wapi kama si Lamu Island where donkeys are a mode of transport?This is Lamu island sio Lamu port. Lamu port iko far from Lamu island. Ujinga wako ndio unakudanganya kwamba hio ni Lamu port?
Wacha nkuambie hio story Ni ya Author fara sana,Haijaithinishwa na Maritime Authority 🤣🤣🤣wacheni propaganda Watz mwamini kuwa Hakuna Panama ita Dock kwa hayo maport zenyu madogo.Mwache wivu pia Lamu mtastukia imewekewa SGR Kama mombasa.Kenya tunafanya vitu kwa mpango si Kama nyinyi mnaelekeza reli yenyu UGanda,inaenda kufanya Nini uko na ya Kenya Ndio cost effective na faster to the sea ikijibebea Double stack na #Ipo Siku Itafika mpaka DRC na Rwanda,Ethiopia,Southern Sudan,etc Mola akitujalia Kenya Raha hoyeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lamu Port: Kenya's Transshipment Hub Risks Becoming a White Elephant
Lamu Port under construction (LAPSSET Corridor Program)
BY NJIRAINI MUCHIRA04-26-2021 10:47:47
The Kenyan government faces a hard decision over whether to encourage shipping lines to make use of the new Lamu Port, which is set for commissioning in June. If traffic shifts to Lamu, the government risks failure to generate enough revenue from its main gateway facility, Mombasa Port.
After years of delay, Kenya is preparing to open Lamu Port for business on June 15. The port's commissioning marks the completion of the first three berths at a cost of $367 million, but industry experts warn that the facility risks becoming a white elephant.
"Lamu port is at the risk of becoming a white elephant because I don’t know who is going to use it come June. Factors against its viability are many and unless Kenya negotiates with Ethiopia, the facility will not achieve its purpose," said Wycliffe Wanda, the executive officer of the Kenya International Freight and Warehousing Association.
To start with, the government is grappling with the tough choice of pushing business to Lamu Port, a decision that would mean decline in revenues for Mombasa Port. The ripple effects could include an inability to generate enough revenue to repay the Chinese loans that were used to construct Kenya's Standard Gauge Railway (SGR) project.
Mombasa port is the main source of business for SGR, because 40 percent of the port's cargo is required to be transported on the line to the hinterlands - mainly the Nairobi and Naivasha inland container depots.
Another challenge facing the Lamu Port is waning interest by Ethiopia and South Sudan, the two countries that were expected to be the main source of transshipment business for the facility. The port is a key part of the wider Lamu Port South Sudan-Ethiopia Transport (LAPSSET) Corridor, which is being implemented at a total cost of $24 billion.
Landlocked Ethiopia, which mainly uses the port of Djibouti, has shifted its interest from the Lamu Port to the Somaliland port of Berbera, where it is partnering with DP World to build a regional trade hub for the Horn of Africa. Ethiopia has since acquired a 19 percent stake in the Berbera Port project, and DP World is investing $442 million to expand and increase its capacity by 500,000 twenty-foot equivalent units (TEU) per year.
Ethiopia is also seeking a stake in Eritrea Port following the cessation of hostilities between the two neighbors.
Despite Lamu Port's design as a transshipment hub, transit cargo in Kenya remains minimal, with the port of Mombasa handling about 120,000 TEU in 2018 and 210,000 TEU in 2019 out of a total of 1.3 million TEUs. This means the facility may struggle to attract business.
Threats of insecurity - particularly from the terrorist group al-Shabaab - and delays in completion of road networks are other factors that could see Lamu Port become an expensive but idle facility. Last week, the Kenya National Highway Authority awarded a $166 million contract to China Communications Construction Company (CCCC) to implement two key road projects that are central to making the port feasible. CCCC is also constructing the port.
Additional challenges facing Kenya’s crude oil project - including construction of a pipeline to Lamu Port - mean that it might take years before the country can start utilizing the facility in exporting its crude resources to the international markets.
Conceived in 2012, Lamu Port was originally designed to be a massive $3 billion project that would be implemented over a 16 year period. As envisioned, it would have a total of 32 berths and a total capacity of 24 million tonnes of cargo per year.
Though shipping lines like Maersk and Express have indicated a desire to direct some cargo to the new facility, Lamu Port faces many challenges ahead and its future is still uncertain.
The opinions expressed herein are the author's and not necessarily those of The Maritime Executive.
Lamu Port: Kenya's Transshipment Hub Risks Becoming a White Elephant
The Kenyan government faces a hard decision over whether to encourage shipping lines to make use of...www.maritime-executive.com
Port za TZ ni ndogo ndogo halafu wanapenda kuzilinganisha na giant inayoitwa Mombasa port. Hata capacity ya Lamu port ni kubwa kushinda Mtwara au Tanga port.Wacha nkuambie hio story Ni ya Author fara sana,Haijaithinishwa na Maritime Authority 🤣🤣🤣wacheni propaganda Watz mwamini kuwa Hakuna Panama ita Dock kwa hayo maport zenyu madogo.Mwache wivu pia Lamu mtastukia imewekewa SGR Kama mombasa.Kenya tunafanya vitu kwa mpango si Kama nyinyi mnaelekeza reli yenyu UGanda,inaenda kufanya Nini uko na ya Kenya Ndio cost effective na faster to the sea ikijibebea Double stack na #Ipo Siku Itafika mpaka DRC na Rwanda,Ethiopia,Southern Sudan,etc Mola akitujalia Kenya Raha hoyeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Port za TZ ni ndogo ndogo halafu wanapenda kuzilinganisha na giant inayoitwa Mombasa port. Hata capacity ya Lamu port ni kubwa kushinda Mtwara au Tanga port.
[/QUOTEWaTz hawaezi itikia kushindwa Wana kuaga watu wivu sana,mambo ambayo inafanywa Kenya hawawezi kusema Ni poa
Port si Port tu ATI mpaka kisumu port wanaeza sema utakuja Panama No,Port Ndio ivutie Meli kubwa wanaangalianga Size ya port,PortRailway connection,Port Road connection,Fastnesss Offloading of Goods at the Port,Na reli yetu Unye alifikiria akanunua za Double stuck. Nigeria wamenunua SGR ka zetu one day kutakua na reli kutoka Nigeria mpaka Kenya#Ipo SikuPort za TZ ni ndogo ndogo halafu wanapenda kuzilinganisha na giant inayoitwa Mombasa port. Hata capacity ya Lamu port ni kubwa kushinda Mtwara au Tanga port.