Lapf

Matatika

Member
Jun 18, 2013
20
4
Habari wadau wa jf. Kwa mwenye updates za LAPF km wameshotlist watu wa interview tufahamishane.
 
habari wadau wa jf. Kwa mwenye updates za lapf km wameshotlist watu wa interview tufahamishane.

ndg yangu kama hata shortlist unaulizia jf, sidhani kama utakuwemo, kwa hali ilivyo mbaya ya ajira, ina maana ww upo full blind, pole sana mkubwa
 
Habari wadau wa jf. Kwa mwenye updates za LAPF km wameshotlist watu wa interview tufahamishane.

jifunze kuapply na kupotezea, mana kama kila sehemu uki apply unakuwa na muhemuhe kiasi hicho si utashindwa kufanya issue zako nyingine mana akili itakuwa kila silku kwenye kuulizia shortlist za ma taasisi uliyoapply!

we apply,then tulia, kama uko shortlisted utapigiwa simu na ukiona kimya basi ujue kuna watu wameshachukuliwa hivyo piga moyo konde then endelea na application siku yako ikifika utakuwa shortlisted na utaajiriwa mungu akipenda.
 
Amen!.........
 
Back
Top Bottom