Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Insabhunsa Gusa, Jun 13, 2012.

 1. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Wadau,

  nimepewa zawadi ya lap top na mzungu!! Mwenyewe anasema ni high profile lap top. Hivi lap top inawezaja kunipa ulaji au mihela hapa mjini...can i make a living out of it????!!! Naombeni ushauri wenu. Iam a merely computer end user, not an it professional or even an adminisrator...naombeni mchango wenu jamani ili hii lap top inisaidie kujikwamua na maisha haya magumu....sitaki kuiuza ili kupata pesa!!! Naomba mtu anishauri niitumieje ili nitengeneze pesa mwenyewe!!! Lap top yenyewe ni aina ya dell, 500gb, ina web cam, dvd rom, usb port, na speed ya kutosha... It has also windows7 loaded. Nisaidieni, nipo serious...asanteni.
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  thats good kama upo na hiyo laptop ndugu yangu,,, inaelekea ina uwezo mkubwa sana,, all u can do is look 4 a rare software u think u can work with, kwamfano, mimi nilianza kujifunza autoCAD just after finishing form four mwaka 2003, na nikaanza kutengeneza hela kidogo kidogo as a draftsmen kwa kuchukua kazi kwa maengineer na architects wazoefu,,
  all in all there are millions of softwares zinazoweza kukuingizia kipato, photoshop, wed designing softwares, archiCAD, artlantis, na nyinginezo,,
  ila yakikushinda kbsa, unaweza ukaweka walau ka-nero ukawa unaburn cd's na kuweka nyimbo kwenye memory card za simu,, huku mtaani kwetu uswahilini ngaleloo naona hiyo biashara inashamiri sana, hasa baada ya simu za mchina kuingia,,,
  ni hayo tu ndugu yangu
   
 3. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mimi nakushauri wazi uuze kwa wenye ujuzi wa kuitumia upate zako mtaji ukafanye kitu unachokimudu zaidi kukuingizia hela.Hata kama utaihitaji baadae ukishapata ujuzi basi ukanunue baada ya kuwa umetengeneza hela yako nzuri na umekuwa na msimamo wa kimaisha.Kuna rafiki yangu alipewa gari na mzungu akaja kuniomba Ushauri alifanyeje kwani hata pahala pa kulipark ulikuwa mgogoro.Baada ya kufuata Ushauri Kama huo japo juu sasa hivi amejenga numba yake na amenunua magari kasha a moja kama Lille lile,Alikuja kunishukuru sana. Na akanifanya best man wake alipooa.Leo hivi ana kampuni ya kuuza magari.Tangu 1998.
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wewe nawe mshamba sana, kwani ungaomba tu ushauri tu ungekosa nini sasa hiyo Laptop*8 inamaana gani?
   
 5. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama ume-maindi kakalie kisu ***** wewe mtu anahitaji msaada unaleta uboya.
   
 6. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dah, naitamani sana hiyo. uko tayari kuuza?kama uko fresh sema, nitext private mkubwa
   
 7. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Likwanda,

  Asante kwa ushauri wako mzuri sana.....Siku nyingine nitapunguza msisitizo!!
   
 8. m

  mmteule JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  mchngiaji wa kwanza amekupa ushauri mzuuuuri sana, kwa nyongeza tu, pia unaweza kuunganisha laptop yako na internet then ukafungua ofisi ya kufanya mauzo ya LUKU, DSTV, VING'AMUZI VYA KIBONGO, DAWASCO, N.K UKAJIPATIA KIPATO KAKA. HONGERA SANA. KUNA VIJANA WENYE SIM NAMBA 0712 186 050 WATAWEZESHA HILO ZOEZI KIURAHISI. KARIBU KWENYE UJASILIAMALI
   
Loading...