laotops for sales

thejosec

JF-Expert Member
Feb 11, 2010
345
24
Dell latitude e5420,core i5, 500gb HDD...4gb ram,on light keyboard,internal modem,...

Laptop samsung model 510R(SlimShape), hdd 720gb, ram 6gb, core i5,spedy 2.6ghz,HD TrueVisionwebcam,internal modem,

HP pro book core i3,500gb HDD, 4gb ram...internal modem

Call 0719373606
 
Jamani unaoweka matangazo haimaanisha mnachokitangaza madukani hakipatikani, weka tangazo weka na bei wanaoafford kwa bei utakayoweka watakutafuta. Mnaboa kweli kweli
 
Kesha weka namba hapo mkuu, katika biashara za namna hii, "imperfection makes beauty" ndo principle inayoapply hapo.
 
Dunia ilishahama kwenye enzi hizo!!! wauzaji ni mamia, wewe kama hauweki bei yako wakati wenzio wanaweka bei zao itachukua muda kuuza! Sasa hivi hata ukiingia madukani unakuta bei zimebandikwa! Hata ukitaka kununua trekta online unakuta bei imebandikwa!
 
bora umenisaidia mkuu, hawez uza kama yuko peke yako atangaze, hata online shopping wangekuwa wanaweka namba za simu badala ya bei sijui ingekuwaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom