Landrover Discovery 2001: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Landrover Discovery 2001:

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Oct 18, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ndugu wanajamvi,

  Poleni na majukumu na pia kampeni. Meli inakaribia kutia nanga magogoni, kitalu namba moja.

  On another note: Naomba kupata msaada wa kifundi kuhusiana na hii gari tajwa hapo juu. Mwenye utaalamu au uzoefu na hii gari: Is it worthy to purchase it? Vipi kuhusu vipuri ? Je, vipuri hivi vinapatikana kirahisi hapa bongo? Je, inamagonjwa gani yanayosumbua au ni gari ambayo ni roho ya paka ? Inaenda Km ngapi kwa lita moja?

  Naomba msaada wenu wanajamvi
   
 2. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dont know much but I have it for the last one year and not dissapointed with Land Rover Discovery. Fuel depends on speed and type of engine
   
 3. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Thanks Mzee WaBush!

  This one is Discovery 2001 V8!
   
 4. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hiyo gari kwa mafuta ni balaaa!!!!Ikiwa masafa ya mbali unywaji wa mafuta siyo issue ila kwenye foleni Mbezi - MWENGE Uspime kabisa.
   
 5. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Thanks Kimatire,

  Nataka kwa ajili ya kwendea shamba manake nasikia ni kama farasi linapokuja suala la kuvuta trela. Kwa mjini inatumia lita ngapi kwa km? na nje ya mji inaweza kwenda hadi km ngapi kwa lita? Vipi kuhusu matengenezo?
   
 6. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  We nunu tu mkubwa Kila Mtu atakuambia Lake..Gari ni Matunzo tu
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Asante Mtulutumbi .....Mzee jina lako limenikumbusha mitaa ya Kanda ya Ziwa!!
   
 8. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Je waweza kufunga engine ya td5? au haziingii kwenye V8? Na kama inawezekana zauzwaje hizo injini hapa mjini?
   
 9. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwanza nimchelewa sana kukupa maoni. Kwa hapa Tanzania inategemea wewe ni nani na utanywesha vipi mafuta gari yako. Landorover kwa sasa haizfai Tanzania, unless unanunua 109, nyingine zote unatakiwa uwe tajiri na uwe na hela za mchezo.

  Kwa sasa Toyota ni chaguo zuri zaidi kwa watanzania hohe hahe kama mimi. Kama umefikia level ya kama mzee wa vijisent, basi hiyo ni gari nzuri. Lakini sijui mambo ya injini na ya kiufundi.
   
 10. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Bongolander:

  Asante sana mkuu kwa ushauri. Mimi ni mjasiliamali wa kawaida na naomba nipate vijisenti hivyo siku moja bila kuiba mali za wabongo. Hili gari linaspace kubwa sana ata kama natoka shamba naweza kubeba mihogo et cetera lakini najaribu kuangalia upande wa pili wa shilingi nisije juta kulimiliki c unajua tena 'information' is powa katika kufikia maamuzi.
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kweani hiyo engine ina shida gani? kama unanunua kimeo achana nayo bana. kama ipo ok usihangaike kubadili engine.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hapa natofautiana na wewe...........unaweza kuwa na toyota ambayo shock absorber ni Tsh 30,000 lakini inadumu kwa 8 months tu, na ukawa na nissan ambayo same kipuri ni 80,000 na kinadumu 2 years, sasa unakuwa unafanya nini?
  Anyway, mimi sijawahi kuendesha toyota wala ku-own one in my life, I go Nissan and Rover.........gari kimeo ni free lander kwenye series za landrover......nyingine zote nunua, land rover ya dizel fuel ndo mpango mzima.......gari kubwa yeyote ya petrol inahitaji uangalifu sana.
   
 13. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nikiangalia kwa mahesabu uliyofanya hapo juu Toyota ni affordable kabisa. Kwa sababu unaweza tumia 30,000 leo na 50,000 uka invest for 8 months. utatumia 30,000 zingine for the following 8 months zilizobaki plus interest ukainvest. Lakini Nissan unatumia hela yote leo na unabaki bilabila. Ujasliamali. Any way mm ni mpenzi wa Toyota sana na naijua vizuri vipuri ni cheap sana na ni nzuri kwa umasikini wetu. Kwa kaka ww Land rover Discovery, nimewahi kusikia kuwa hii gari huwa inasumbua sana umpande wa injector pump, jaribu kutafuta fundi mzoefu umuulize kuhusu hili. Japo kuwa unaonekana umeshaamua kununua tayari.
   
 14. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Bigirita asante kwa maoni:

  Kwa hiyo hii yenye injini ya v8 niirukie? kuna namna inaweza 'kuchakachuliwa' na isimeze wese?

  Shadow
   
 15. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Mkuu Hiyo engine ni kubwa sana V8, Hiyo gari inakunywa mafuta kama tank limetoboka, kama alivyoshauri mdau kama unazo ni poa sana nakwambia ukweli mafuta ya 50000 petrol wala sio kitu kwenye hiyo gari
  kama unavyosema ndio unataka kustaafu basi hiyo gari haikufai kabisa
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama unampango wa kwenda nayo shamba peke yake inafaa sana tu. ila kwa misele ni balaa........ni sawa na Cherokee ya Belgium ya V8 ya kizamani kidogo. 5Ltrs ukitoka ubungo mpaka posta kwisha kabisa, inazima.
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Mkuu unavyoongea ni kweli kabisa kwa sababu V8 nyingi kama zikiwa mpya ni 3.5 to 3.8lts, lakini ikianza kuchoka kidogo nyingi zinasimama kwenye 20lt/100km yaani kwa lita tano unaenda kilometa moja tu, na kadri inavyozidi kuchoka engine ndio consuption inakuwa kubwa,
  kama unasafari za shamba Tafuta Hilux Double Cabin, mbona ni gari nzuri tu, unaweza kuendea shamba na pia kutokea weekend
   
 18. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
   
Loading...