Landcruiser V8 ndani ya mto kigogo!

peace2007

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
212
81
hii imetokea leo wakati jamaa akiosha V8 pale kando ya mto wa kigogo wanapooshea malori, gari ikaserereka na kutumbukia mtoni!

 

Attachments

  • Photo0034.jpg
    Photo0034.jpg
    54.5 KB · Views: 826
Sasa huyo aliyepeleka hiyo Vx kuosha kwa majitaka atakua mvuta bangi ndo maana hata gari kalitumbukiza mtoni
 
Ulimbukeni hii ndiyo dawa yake. Huenda mhusika hajatolea jasho pesa aliyonunua huu mchuma hadi akaenda kuuosha kwa maji yaliyojaa vinyesi na mikojo. Likikwapuliwa anaanza kulia lia.
 
aiseeeeeee babaangu ilo gari litauzwa mnada bei poa sana kama laki 9 au milioni na atalinunua kigogo
 
Nahisi ni dereva mwajiriwa aliyepewa hela ya kuoshea mahali stahili lakini akataka kuisave.
 
Duh inaonyesha lilikua chafu sana eeen jamaa kaamua alioshee hapo jirani kabisa
 
Nina maswali mia moja,
huyo jamaa hakuweka handbrake? Gari ilikuwa free?
Budget ya kuosha ilikuw angumu?
Yeye alikuwa wapi muda huo, anakula nyama choma?
Ofisini wanajua huwa linasafishwa hapo? ama kweli za mwizi 40.
Atajielezaje?

Hiyo ni STk ama SU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom