LAND ROVER DISCOVERY V8

Mr Electric

Mr Electric

Member
Joined
Apr 26, 2019
Messages
38
Points
95
Mr Electric

Mr Electric

Member
Joined Apr 26, 2019
38 95
Land rover discovery V8.
Mwaka 2002
Engine capacity cc3950
8 cylinders
Reg no AZZ.
Boss anaisukuma hiyo imetunzwa vzr .
Iko kunduchi. Huwa inatumika kwa matumizi ya hapa mjini tu maramoja moja tangu inunuliwe. Unawasha na kuondoka. Wanaoijua hii mashine wanaelewa
Bei milioni nane na nusu
0620320089
img-20190809-wa0145-jpeg.1179822
img-20190809-wa0146-jpeg.1179824
img-20190809-wa0144-jpeg.1179825
img-20190809-wa0141-jpeg.1179826
img-20190809-wa0140-jpeg.1179827
 
bonna

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
813
Points
250
bonna

bonna

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
813 250
😂😂😂😂 nimesoma hapo kwenye bold nkaelewa "Huwa inatumika kwa matumizi ya hapa mjini tu maramoja moja tangu inunuliwe "

na mnunuaji kama hauna Kituo cha mafuta jiandae kuitumia mara moja moja tu tangu siku utakayonunua
 

Forum statistics

Threads 1,324,588
Members 508,741
Posts 32,167,430
Top