Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Discovery 4 is the best off-roader in the world. Hata gari za Toyota zinasubiri hapo. Gari ina speed na ina balance.

Fuel consumption ni nzuri hasa ukichukua diesel option. Kwa Tanzania spares zipo nyingi sana ila sikushauri uweke zile used.
Acha utani mkuu! Discover 4 inaweza kusimama na Land Cruiser 200 series au Nissan Patrol kwenye off road
 
disco 3 v 6 ni rand 130,000 mpaka 150000 model 2005 mpaka 2007 na disco 4 ya kuanzia 2010 mpaka 2012 ni rand 250000 mpaka rand 300000 zipo tuu nyingi yard zao huko hata sio za kutafuta zidisha na Tsh 150 kupata shilingi
Millioni 37 na nusu Affordable kabisa
2018-11-04%2017.30.23.jpeg
 
Apo anataka kusema Coca ya Nyanza na BONITE zina ladha tofuati...
mng'ato hizo za UK na za South Africa zipo sawa tuu kumbuka mwenye gari ni UK anampa masharti South Africa akitengeneza lile kwa ubora ule anaoutaka yeye..ni kama sasa South Africa anavyotoa matoleo mengi ya mercedes benz kwa mwaka na ni magari kweli...
 
Mngato benz wametoa mipira mizuri sana sema shida kodi ndio ipo juu zaidi kuna moja ilikuja jamaa aliambiwa aweke 35m ilikua ya 2015 kwa gari ndogo hizi na pia katika soko zimefanya vizuri pia na wanayo matoleo mengi ambayo yanayokimbizana na Vw golf 7 hii gari ni nzuri sana bei ya golf 7 iliyogongwa unapata disco 4 nzima iliyo yard ya 2010.,
Mkuu....Uyu mdudu huwa ananinyima usingizi sana
2018-11-04%2017.41.18.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_2018-10-27-19-53-54.jpeg
    Screenshot_2018-10-27-19-53-54.jpeg
    64.9 KB · Views: 199
Land Rover Discovery 4 kutoka Befoward japan used Car mnaziongeleaje wakuu? nataka kuagiza uko kwakuwa nimeona bei zake zinashabiriana na za south Africa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Eti Na Mimi Nisiyejua Magari Nae Nafungua Thread Hii Nakuisoma Wakati Sina Cha Kucomment Wala Kulike Mwisho Naishia Kusoma Comments Za Wanajamii Huku Nikijiaminisha Kuwa One Day Yes Nami Ntayajua Na Kuyafanyia Uchambuzi Yakinifu
EEH MWENYEZI MUNGU NIBARIKI MWAKA HUU WA 2019 UWE WA MAFANIKIO KWANGU
 
Mng'ato SA wamepunguza uzito pia lipo tofauti na tani tatu na ushee za UK na pia ulaji wa mafuta wa SA upo chini tofauti na ya UK ndio maana Msouth kauza sana Ulaya na Australia ingawaje yeye sio mmiliki na pia body lisiwe siraha ya kukudhuru pindi linapopata ajali mkuu mimi napendelea sana Mercedes Benz ila benz hawana gari ya juu iliyosimama kama Rand Lover ile ML 350 benz haipo confortable sana kama hizo Disco 3 na 4 hizo ni gari mzee tafuta kodi tuu boda ni 24milion kununua 3 ni 16 milion mpaka 20m ila disco 4 lipo juu mwakani litashuka bei hata used pia...
Mdau...shwari...? 2019 dis 4 disel option linapatikana kwa bei gan huko bonden?!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bufa discovery ni gari nzuri sana ila hazitaki ubahili na mateso...ndio maana zinaonekana ni mbovu...hizi ni gari za kiingereza ni uzao mmoja na vogue
Ukimiliki hizo gari
-hakikisha haiendeshwi na mikono mingi
-haitaki mafuta ya kidebe
-haitaki spare bandia
-haitaki lubricants bandia
Etc
Naam naam kamanda.
 
Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
Siyo kwel hayaalibiki kila siku ni gari ambazo zinadumu sana ila ikisumbua ndo mtihani kuhudumia hiyo gari ni sawa na kuhudumia familia tano kwa siku ila ni gar kali inadumu na ni ya heshima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom