sir joshua
JF-Expert Member
- May 21, 2013
- 479
- 176
Isanga famillly na vip kuhusu Subaru Forester ya mwaka 2005bei gani kwa hapo south naomba ufafanuz japo nimetoka nje ya mada samahani mkuu..kudasai hapana zipo 3000 cc V 6 , VHS diesel na chini ya hapo pia ila petrol..hiyo ya diesel pia mafuta kawaida tuu Muingereza kabana hazinywi mafuta ila kwa V 8 ndio inajieleza inakunywa...kujua nyuma inaandikwa 6VHS hiyo ni V 6 na nyingi 3000cc mpaka 2500cc zipo ila nadhani chache sana za petrol hizo..
Discovery 3 v6 diseil ina nguvu hatari