Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.

Hizi picha nimeweka 05/12/2020 miaka minne baada ya comment ya juu ili mjionee wenyewe maoni ya watu online juu ya Land Rover. Google is free.

Screen Shot 2020-12-05 at 1.01.07 AM.png

Screen Shot 2020-12-05 at 1.02.34 AM.png

Screen Shot 2020-12-05 at 1.03.12 AM.png
 
mkuu hiyo gari haina shida kama mdau anavyoongea hapo juu ni gari bora, lina balance, confortable sana ndani, speed ipo na imara Landrover hiyo haili mafuta simu yangu inagoma ku upload picha zake inawezekana Bufa ajaelewa unazungumzia nini.

Labdrover 3 au 4 Tdi Vhs ya diesel hizo ndio gari mkuu usikatishwe tamaa hapa watu magari hawajui hata ukiuliza Ford Ranger XLT 2016,au Ford Raptor, Mercedes Benz X utaambiwa matatizo hayo wakati gari hizo zimevunja Record ya mauzo yaliyowekwa na Navara,Isuzu Kb,Toyota d4d kwa kipindi kirefu...
 
Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
vipi hapo kwenye nyekundu, au ulidhani anazungumzia trekta?
 
Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
Ni wazi huyajui haya magari. discovery 4 zina engine tofauti tofauti. 3.0tdv6 hii ni diesel engine very economical, 4.0/4.4 v8 petrol engine hii ni gas guzzler.

Labda una experience na discovery 3 zilizochoka ila disco 4 zimeanzia 2009 nyingi hazisumbui.
 
Mkuu dengue nunua hiyo gari mimi navutia tela nabeba trekta 165Fm au 135mersey ferguson toka mpumalanga mpaka mbeya na haili mafuta na ina nguvu sana ni disco 3 v 6 ina uzito tani 3 halijawahi kusumbua na mwezi huu linatoka tena na trekta kama kawaida...nipm namba nikutumie picha uitume hapa naona mm hapa inasumbua... d 4 mapumziko yamezidi zaidi hizo gari ukiona dereva kafanikiwa kuipindua matairi manne yote yawe juu unapata zawaidi kwa kupelaka hiyo picha Johannesburg Landrover photoshop wataijua...
 
disco 3 v 6 ni rand 130,000 mpaka 150000 model 2005 mpaka 2007 na disco 4 ya kuanzia 2010 mpaka 2012 ni rand 250000 mpaka rand 300000 zipo tuu nyingi yard zao huko hata sio za kutafuta zidisha na Tsh 150 kupata shilingi
Mkuu tofauti hasa ya discovery 4 manufactured in S/Africa na zile UK ni nini Hasa. Labda ni performance au uimara au?
 
mng'ato hizo za UK na za South Africa zipo sawa tuu kumbuka mwenye gari ni UK anampa masharti South Africa akitengeneza lile kwa ubora ule anaoutaka yeye..ni kama sasa South Africa anavyotoa matoleo mengi ya mercedes benz kwa mwaka na ni magari kweli...
 
Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
VITZPHOBIA
 
mng'ato hizo za UK na za South Africa zipo sawa tuu kumbuka mwenye gari ni UK anampa masharti South Africa akitengeneza lile kwa ubora ule anaoutaka yeye..ni kama sasa South Africa anavyotoa matoleo mengi ya mercedes benz kwa mwaka na ni magari kweli...
Asante Sana Mkuu, kuna lawyer hapa Arusha ana discovery 4 ya S.A anasema hii gari yangu ndani ni kali Sana lkn kwa nje body yake ni nyanya i.e nyepesi tofauti na discovery 4 made in UK Mkuu.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom