vipi hapo kwenye nyekundu, au ulidhani anazungumzia trekta?Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.
Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
Lugha ya picha haipandi kwa vijana wa leo. Basi safari moja club nyingine garage, umeelewa sasa?vipi hapo kwenye nyekundu, au ulidhani anazungumzia trekta?
Ni wazi huyajui haya magari. discovery 4 zina engine tofauti tofauti. 3.0tdv6 hii ni diesel engine very economical, 4.0/4.4 v8 petrol engine hii ni gas guzzler.Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.
Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
discovery gari nzuri mkuu...barabara zetu hizi mpaka discovery 200 bado zinatembea. Unajua za lini hizo? 1995/6/8Lugha ya picha haipandi kwa vijana wa leo. Basi safari moja club nyingine garage, umeelewa sasa?
Kama hela inakuruhusu nunua. Nunua 3.0tdv6. Land rover haijawahi kuwa na shida ya spare nchi hii.wadau naomba mwenye uelewa au uzoefu wa gari aina ya Land Rover Discovery 4, anipe maelezo.. specifications, bei, fuel consumption, upatikanaji wa spare parts, na kama inafaa sana kwa barabara zetu..
Mkuu tofauti hasa ya discovery 4 manufactured in S/Africa na zile UK ni nini Hasa. Labda ni performance au uimara au?disco 3 v 6 ni rand 130,000 mpaka 150000 model 2005 mpaka 2007 na disco 4 ya kuanzia 2010 mpaka 2012 ni rand 250000 mpaka rand 300000 zipo tuu nyingi yard zao huko hata sio za kutafuta zidisha na Tsh 150 kupata shilingi
VITZPHOBIAUsijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.
Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
Asante Sana Mkuu, kuna lawyer hapa Arusha ana discovery 4 ya S.A anasema hii gari yangu ndani ni kali Sana lkn kwa nje body yake ni nyanya i.e nyepesi tofauti na discovery 4 made in UK Mkuu.mng'ato hizo za UK na za South Africa zipo sawa tuu kumbuka mwenye gari ni UK anampa masharti South Africa akitengeneza lile kwa ubora ule anaoutaka yeye..ni kama sasa South Africa anavyotoa matoleo mengi ya mercedes benz kwa mwaka na ni magari kweli...